shivo01
Member
- Mar 25, 2014
- 89
- 142
B
Mhongera zake hapo ni wapi tz au?
Ipo mbez beach kwa zenahongera zake hapo ni wapi tz au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhongera zake hapo ni wapi tz au?
Ipo mbez beach kwa zenahongera zake hapo ni wapi tz au?
Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
John yupo keko huyo aliyemuuzia nan? Na jamaa alikua hauzi hiyo nyumbakanunua kwajohn hugo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mbavu zangu, aisee ni hatariAcheni hizo Watu hawafanani. Afu ya kibao Sisi hayatuhusu. Na mwisho OFISI SIO PUMBU ZIIFICHWE kwenye kaptula
Kuna watu wajuaji sana... Hiyo nyumba haijauzwa na haiuzwi.... Kupangisha unapangisha....John yupo keko huyo aliyemuuzia nan? Na jamaa alikua hauzi hiyo nyumba
HahahahKibakuli ana investments za maana zaidi ya huo uchafu wenu...kitu Rockstar Tv!
Hakuna ukweli apoo.... nyie wabongo mnashoboka tuu... diamond awe na mjengo wa ivoo.. anavopenda sifa wakati anajenga siangejitangaza..... Sanukaa mnatoa udenda kwenye hamnaaaa
sio kweli mwambie aonyeshe semeni ukweli tuNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Na john hana mpango wa kuiuza hiyo nyumba imekaa more than 4 yrs bila kukaliwa na mtu zaid ya walinzi inafanyiwa usafi tu,jamaa alikua anakuja kuichek then anasepaKuna watu wajuaji sana... Hiyo nyumba haijauzwa na haiuzwi.... Kupangisha unapangisha....
Kama ingekua yauzwa dia ageifanya makazi
Umeionaje kama hajaionesha???Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Iko wapi iyo ofisi ya alikibaNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Sio 1995 ni 1992chadema bado hawana makao makuu tangu 1995
Basi sawa ila jitathimini akil zako zimejaa topeNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.