Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii chang'aa ulopiga Leo c mchezoNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
kanunua kwajohn hugoMbezi Shoppers
Hongera sana kwake
Haijauzwakanunua kwajohn hugo
Hapa ndio na pata picha ya comment ya espyUkiwa na sauti nzuri, ushaimba na R. Kelly na demu mkali kama Seven Mosha nyumba ya kazi gani?
Kichefuchefu ka diamond kanavyoshindwa kutoa matumiazi ya mtotoHaaaa nini tena lucky
IshiiiiiToeni hata pongezi pale panapostahili
Hongera kwao kwa hatua waliyopiga hata kama ikionekana ndogo but still they managed kuwa na HQ yao
Kanunua bilioni 1 hio best tusimchukulie poa huyu dogo spidi yake sio ya kawaidaNyooooooo!
Ofisi ni sehemu ya biashara, Kumbuka kuna msemo usemao Biashara ni matangazo, hapo ndipo mjue Diamond, hafuati anachofanya Ally Kiba. Ila nyie Mashabiki ndiyo mnataka huyu wafanane.Kiba Mbona ana ofisi kali zaidi ya hiyo Kitambo sana....... Sema tu hana makuu
Wweee kajinyee hukooNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Ipo mbez beach kwa zena mkuuIko fresh hii nyumba ila kama naijua siyo ipo pale kijitonyama opposite na grandvilla, nakumbuka ilijengwa fasta saana kipindi icho ilikua kama sikosei mwaka 2009 - 2010.