Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Nyie ndo mna mfanya kiba aonekane si lolote si chochote kutwa kum compare na mond
 
Hivi wanamuziki hawashauriwi? Hii ni nyumba ya makazi wala sio ofice
 
Ndani ya mjengo huu zitapatikana Ofisi za WCB, Studio ya kurekodi, Kituo cha Radio cha #WASAFIFM na #WASAFITV.
Source: Ayo Tv - Twitter.
Pongezi kwake
 
why mlete ushabiki humu.kwanini tusione ni hatua nzuri kwa muziki wetu ?
 
Kama haujaelewa maana ya sarcasm basi mimi sifai kuwa Mwl wako anzia ngazi za chini nitakuchanganya tu nyamipumba
Sijakuuliza maana sarcasm brother acha kukurupuka.......tueleweshe huyo mtu alikuwa anamaanisha nini! Hicho ndo nachotaka kujua kilaza mimi

Upo????? Au haujaelewa brother
 
Team kiba mnanifuhashaga sana yaan mpo kwa ajili ya kuonyesha kwamba kiba yuko juu.
Hapo hatuzungumziii nani ana nn ila tu wao km Wcb ndo wameshare nasi yeye kama hakutaka ni maamuzi yake
Nafikiri hiyo ilikuwa ni kejeli, na ukifuatilia waweza kuta ni team domo huyo. Read btn the lines.
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Nyie waru mna matatizo sana
Mwanamuziki usipopenda kujionesha utapataje wapenzi wa kazi zako?
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Mafanikio huwa hayajifichi..angekuwa tungeona tu kupitia ijumaa, risasi, uwazi na mengineyo
 
Sijakuuliza maana sarcasm brother acha kukurupuka.......tueleweshe huyo mtu alikuwa anamaanisha nini! Hicho ndo nachotaka kujua kilaza mimi

Upo????? Au haujaelewa brother
Narudia tena kama unaelewa maana ya sarcasm na umesoma alichoandika mwanamwana maswali ya nini?tusichoshane
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kupata vichekesho kama iv tuma neno "lupera"kwenda namba 12345
 
Ukiwa na sauti nzuri, ushaimba na R. Kelly na demu mkali kama Seven Mosha nyumba ya kazi gani?
 
Narudia tena kama unaelewa maana ya sarcasm na umesoma alichoandika mwanamwana maswali ya nini?tusichoshane
Mimi mgumu kuelewa that's why nikakuuliza wewe nyamiakili........hata hivo numegundua kitu from you so haina maana tena
 
Back
Top Bottom