Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Fresh tu Ila Ali kiba anamiliki private jeti sema hapend show off kabisaaa yaan why kiba
 
HIYO OFISI AU NYUMBA? ALIYEJENGA ITAKUWA ALIAMBIWA AJENGE NYUMBA ITAKAYOTUMIKA KAMA OFISI, ILI KAMPUNI IKIFA IUZWE KAMA NYUMBA..
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Vitu vizuri havijifichi wala havifichwi, kiba njaaaa tu,
 
Ali Kiba na timu yake wapo hoi, kinachowafanya wawe relevant ni chuki zao dhidi ya mafanikio ya Diamond tu, otherwise tungeshawasahau kitambo kama Zay B.
Zay be sasa yukoo gado[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hakuna ukweli apoo.... nyie wabongo mnashoboka tuu... diamond awe na mjengo wa ivoo.. anavopenda sifa wakati anajenga siangejitangaza..... Sanukaa mnatoa udenda kwenye hamnaaaa

Kama benki zenyewe zinapanga majengo unashangaa wasafi kupanga?!
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Umesahau na hii, kuwa ana kituo chake cha radio na tv siku nyingi ila hajataka kijulikane wala kisikike! ie KIBA FM na KIBA TV..
 
Diamond kaona mbali sn kuanzisha radio na tv ww fikiria wadahamini wake wote wawe wanalipia matangazo kwny tv na radio yake...ukiacha makampuni mengine na usije kushangaa hiyo channel ipo hata kwny dstv maana ana mashabiki wengi africa
 
ali kiba muungwana sana hana mambo ya kitoto hata uvaaji wake bomba unyoaji wake ok hongera ali wewe ndio kioo
 
Hongera, ila naamini hapo pale mchango wa zari pia.
 
Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Inawezekana zikawa ni Online radio/TV ambazo hazina gharama kubwa kuziendesha.
 
Back
Top Bottom