Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vigae kama vina kutu tayariSiamini yaani Diamond na familia yake wanavyopenda sifa ajenge nyumba hadi kufikia hapo tusijue? Labda kama kanunua
Sijakuuliza maana sarcasm brother acha kukurupuka.......tueleweshe huyo mtu alikuwa anamaanisha nini! Hicho ndo nachotaka kujua kilaza mimiKama haujaelewa maana ya sarcasm basi mimi sifai kuwa Mwl wako anzia ngazi za chini nitakuchanganya tu nyamipumba
Nafikiri hiyo ilikuwa ni kejeli, na ukifuatilia waweza kuta ni team domo huyo. Read btn the lines.Team kiba mnanifuhashaga sana yaan mpo kwa ajili ya kuonyesha kwamba kiba yuko juu.
Hapo hatuzungumziii nani ana nn ila tu wao km Wcb ndo wameshare nasi yeye kama hakutaka ni maamuzi yake
Nyie waru mna matatizo sanaNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Mafanikio huwa hayajifichi..angekuwa tungeona tu kupitia ijumaa, risasi, uwazi na mengineyoNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Wambie hawoMafanikio huwa hayajifichi..angekuwa tungeona tu kupitia ijumaa, risasi, uwazi na mengineyo
Narudia tena kama unaelewa maana ya sarcasm na umesoma alichoandika mwanamwana maswali ya nini?tusichoshaneSijakuuliza maana sarcasm brother acha kukurupuka.......tueleweshe huyo mtu alikuwa anamaanisha nini! Hicho ndo nachotaka kujua kilaza mimi
Upo????? Au haujaelewa brother
Jina lenyewe mwanamwana kubishana nawewe inataka moyo mkuuMkuu mimi si timu Kiba, unanikosea adabu.
Msanii namba moja Tanzania, Diamond Platnumz ame-share picha ya jengo ambalo litatumika kama makao makuu ya ofisi za Wasafi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Kupata vichekesho kama iv tuma neno "lupera"kwenda namba 12345Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Mimi mgumu kuelewa that's why nikakuuliza wewe nyamiakili........hata hivo numegundua kitu from you so haina maana tenaNarudia tena kama unaelewa maana ya sarcasm na umesoma alichoandika mwanamwana maswali ya nini?tusichoshane