Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
Kwanini hukubaliani nae? Tatizo sio kuanzisha bali uendeshaji. Kwahiyo tusubiri kuona hizi stations zitaendeshwaje endeshwaje. Kama zitakuwa kinda independent stations giving "almost" equal opportunities to all stakeholders like other recording companies, labels, producers, basi hakuna tatizo lakini kama itakuwa kila asubuhi Diamond?WCB wanaenda kufanya interview... na kupiga nyimbo za Wasafi bandika bandua; hiyo itakuwa haikubaliki and completely unprofessional.
 
hongera zake kijana,hivi dada wa Marekan katoa maelezo yoyote kuhusu huu mjengo?
Ndio katoa kasema haijanunuliwa imekodishwa tu. Kaweka hadi picha za hao wenye nyumba na kwamba muhusika yupo jela. Kodi itatumika kusomeshea mtoto. Mwisho amemsifu Mondi kwa kukodi ofisi nzuri ya gharama
 
Wasanii wengi wanamatatizo ya akili...infact ni almost wote, ni wachache wenye akili timamu. Na hii imewafanya hata wale wanaowafatilia au washabiki wao kuwa na akili pungufu.
 
Mngepitia na post ya Mange ingependeza zaidi juu ya hiyo nyumba
 
Back
Top Bottom