[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiba fans are trying out to get blood from a stone [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ya kwake au kapanga?Msanii namba moja Tanzania, Diamond Platnumz ame-share picha ya jengo ambalo litatumika kama makao makuu ya ofisi za Wasafi.
Mkuu ww ni mkulima afu kuwekeza kwenye mashine za kukoboa na kuchakata mazao yako unapata wasi wasi wa nn?? Vijana wengi sana watajiunga na hiyo tv na kazi zao zitapigwa sana hivyo kuteka masikio ya wengi pasipo competetionHapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
hapo ndo napompendea kiba hana makuuKiba Mbona ana ofisi kali zaidi ya hiyo Kitambo sana....... Sema tu hana makuu
Safi sana mdogo wangu,endelea kukimbizaMsanii namba moja Tanzania, Diamond Platnumz ame-share picha ya jengo ambalo litatumika kama makao makuu ya ofisi za Wasafi.
Hatuzungumzii jengo,tunazungumzia kilichomo ndani ya jengo ambacho ni WasafiTv,Wasafifm na Wasafistudio... anaweza akawa amepanga lakini cha umuhimu ni kitu kinachorushwa pale....radio nyingi hapa mjini watu wamepangisha majengo,ishu ni Ofisi na sio jengoHakuna ukweli apoo.... nyie wabongo mnashoboka tuu... diamond awe na mjengo wa ivoo.. anavopenda sifa wakati anajenga siangejitangaza..... Sanukaa mnatoa udenda kwenye hamnaaaa
Ishu ni ofisi,haijalishi kapanga au kanunua...muhimu ni kinachopatikana mule ndaniYa kwake au kapanga?
Nyamiakili tueleweshe basiNimegundua huu Uzi umejaa vilaza walioshindwa kuelewa sarcasm ya mwanamwana rudini Insta
Huu sasa ushabiki umeingiza...Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
HahahahqhqhqhqqhhqhqNi hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.