Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Diamond anunua jumba kwa Tsh Bilioni 1 na kulifanya makao makuu ya Ofisi za Wasafi(WCB) nchini

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Msanii namba moja Tanzania, Diamond Platnumz ame-share picha ya jengo ambalo litatumika kama makao makuu ya ofisi za Wasafi.

WCB.png

Hapo ndio yatakuwa makao makuu ya Wasafi Radio and TV......
Mimi sikubaliani kabisa na Diamond kuwekeza hela kwenye hii biashara ya Tv na Radio bado nina doubt.
Lakini namtakia kila lenye kheri
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Team kiba mnanifuhashaga sana yaan mpo kwa ajili ya kuonyesha kwamba kiba yuko juu.
Hapo hatuzungumziii nani ana nn ila tu wao km Wcb ndo wameshare nasi yeye kama hakutaka ni maamuzi yake
 
Ni hatua nzuri sana kwa maendeleo ya muziki wao. Ila amini kwamba Ali Kiba ana ofisi kubwa mara 10 zaidi ya hiyo ila hapendi kujionesha onesha na kujikweza.
Hahaaaa mbavu zangu jamani
 
Back
Top Bottom