makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nia thabiti, njaa ya mafanikio na kuonja utamu wa mafanikio lazima usiriaz uongezeke joh..Milion 40...!!.duh!..mixer tu?..inaonekana jamaa yuko siriaz sana na hii game aiseee..
Kwafunikwa na T 2016 JPMAiseee, kumbe January yupo bora ajisalimishe WCB atafute kick manake naona ngosha Luhaga Mpina kamfunika kabisa.....
Ipo THT kwa bwana RugeHivi ile mixer ya serikali ambayo alinunua JK.. Iko wapi vileee
Na jibu ndio lile lile,Sallam kaona anaimba upuuzi ndio maana akamzimia. Ukionekana unaimba upuuzi ni kuzimiwa tu mic,kwani sh'ngap kuzima ???Swali bado liko palepale, Kiba anataka kujua kwanini microphone yake ilizimika kule Mombasa?
Ndo uzuri wa kujua kuitumia katika misingi ya kuitafuta nyingine wakati majority ya wasanii wanajua kuitumia katika misingi ya kujizika!Jamaaa anaonekana kuwa na cash ndefu
nani huyo unayehoji ataweza kuitumia kwa 100%?Mixer ya million 40 je ataweza kuitumia kwa asilimia 100??
Hatari sana huyu jamaa hata akiacha mziki amewekeza kiasi kwamba anaweza asiishi bila matatizo....Hii Dunia kuna vitu inabidi ucheke tu,japo ni vya kuumiza.
umemzidi pesa.
tuzo.
shoo.
mijengo.
unayo bendi.
unatumia gita.
una wasanii wanaokuingizia pesa kuliko anazoingiza yeye.
una lebel.
shoo zake ni kenya na tz. mwenzake karibia dunia nzima.
familia nzima ni maarufu.
ni balozi wa makampuni zaidi ya 5.
ana boooonge la timu linalomtegemea yeye.
WCB HUWA WANACHEEEEEEEEEEEEKA,WANAPOSIKIA VITUKO BADALA YA KUNUNA.
Wakuu mixer yetu inalingana kama sio kufanana na hii.
Mixer ya million 40 je ataweza kuitumia kwa asilimia 100??
Natumaini wanaweza kukitumia vilivyo.
Nakumbuka miaka ya 90 kuna bendi ilizuru nchini. Nilikwenda kuangalia sound check.
Basi tulihangaika sana kupata vyombo vya muziki kuiandalia bendi hiyo kubwa kutoka nje. Tulivyopata vyombo, mafundi wakawa wanafunga.
Baada ya kuvifunga, vile vyombo vikawa havitoi sauti nzuri. Sauti ikawa distorted vyombo vinapwaya kichizi. Mafundi wakalaumu vyombo vibovu. Mimi nikasema leo tunapata aibu.
Mara kidogo wakaja wanamuziki wa ile bendi tuliyoialika. Wakaja pale wakawa wanawaangalia wale mafundi wanavyohangaika.
Wakaja wenyewe wakaomba wapewe control.
He, walivyochukua control wenyewe wazoefu ndani ya dakika kumi tu vile vyombo ambavyo mafundi walikuwa wanalaumu kwamba ni vibovu vikawa vinatoa boonge la sound.
Kumbe tatizo halikuwa vyombo. Tatizo lilikuwa kujua jinsi ya kuvitumia vyombo.
Ni vizuri kupata vyombo vya kisasa na vyenye teknolojia nzuri zaidi. Lakini ni vizuri zaidi kuhakikisha watu wanajua kuvitumia, ama sivyo vitu vingi vinaweza visitumiwe kukawa hamna tofauti.
inabidi watafute mkufunzi. wabongo wazembe sana, wengi hata kusoma user manual wanaona uvivu.Natumaini wanaweza kukitumia vilivyo.
Nakumbuka miaka ya 90 kuna bendi ilizuru nchini. Nilikwenda kuangalia sound check.
Basi tulihangaika sana kupata vyombo vya muziki kuiandalia bendi hiyo kubwa kutoka nje. Tulivyopata vyombo, mafundi wakawa wanafunga.
Baada ya kuvifunga, vile vyombo vikawa havitoi sauti nzuri. Sauti ikawa distorted vyombo vinapwaya kichizi. Mafundi wakalaumu vyombo vibovu. Mimi nikasema leo tunapata aibu.
Mara kidogo wakaja wanamuziki wa ile bendi tuliyoialika. Wakaja pale wakawa wanawaangalia wale mafundi wanavyohangaika.
Wakaja wenyewe wakaomba wapewe control.
He, walivyochukua control wenyewe wazoefu ndani ya dakika kumi tu vile vyombo ambavyo mafundi walikuwa wanalaumu kwamba ni vibovu vikawa vinatoa boonge la sound.
Kumbe tatizo halikuwa vyombo. Tatizo lilikuwa kujua jinsi ya kuvitumia vyombo.
Ni vizuri kupata vyombo vya kisasa na vyenye teknolojia nzuri zaidi. Lakini ni vizuri zaidi kuhakikisha watu wanajua kuvitumia, ama sivyo vitu vingi vinaweza visitumiwe kukawa hamna tofauti.
Kwa mtaji huo unaweza kununua mashine kubwa kama hiyo ukaiunguza siku ya kwanza kwa sababu unanunua kitu usichokielewa.Kwanza ununue mashine kama hii uweke ndani kisha ndio unatafuta wataalam wanaoielewa. Na ukishakaa nayo baada ya muda kwasababu ni yako haitakusumbua tena.
Huwezi kujifunza kuendesha baiskeli kwa kuiangalia kwenye picha tu.
Yeah. Mimi nilishuhudia live Diamond Jubilee hapo. Nikajua leo tunapata aibu tumeita watu vyombo vibovu.inabidi watafute mkufunzi. wabongo wazembe sana, wengi hata kusoma user manual wanaona uvivu.
Salome una beat nzuri,video nzuri wasanii walioimba ni wazuri na pia una matusi mazuri kuliko yale ya Ney wa mi snare.Kwa hiyo ni lazima waziri ausifie.
Kwa mtaji huo unaweza kununua mashine kubwa kama hiyo ukaiunguza siku ya kwanza kwa sababu unanunua kitu usichokielewa.
Bado hujaelewa au hujataka kuelewa somo langu la msingi.Kiranga wana studio na vyombo vya electronics wanavitumia humo kila siku, sio kama wametoka kijijini hawajui hata mambo ya Voltage. Tunaposema mtaalamu maana yake ni mtu anayeweza kufanyakazi na hiyo mashine na ikawa productive. Hata hivyo haya maneno ya JF tu, nna uhakika wenyewe wanajua wanafanya nini.