Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

mzee wa fix nakuweza sasa,hizo picha za kutoa google nawe ndio unajiona umefikaa,utapasoma kwenye ramaniii chezyaaaaaa

ahahahahaa!!tumeongea na babu tale sasa hivi na amethibitisha kuwa hilo gari ni la diamond na kwa mara ya kwanza litaonekana kwenye video ya yamoto!!ukitaka kuwajua kama hawa ni vinyeo juu angalia hizo picha zao za huyo wanayemsema ndiye mwenye gari kwanza zilivyotofauti!gari ya kanza ina taa kama za altezza ya tbway 360 na nyingine taa ni tofauti!

Halafu account wameitengeneza facebook huko na wakamuweka yule msaidizi wa godfather kwenye picha yake na dai wanasema eti ni lake!!
 
Ushahidi kwamba kanunuliwa hiyo Lambo na Zari uko wapi?

Au mkishaona mtu kapiga picha na kitu tayari mnameza hook, line, and sinker?

Iyo Lamborghini ya mshikaji wangu anaitwa katishadabank diamond kaazimwa kwa ajili ya shooting ya nyimbo ya yamoto band ila zari ndo kampa connection diamond na uyo young rich gang
 
Sikuwa nashindana na mtu...
Umekuja kuwa bluff mashabiki wa diamond wakati hujasema otherwise...

Umeshindwa kuonyesha niliposema kuwa hilo gari si lake na hivyo kukosa uhalali wa kunihoji kuhusu ithibati ya umiliki wake.
 
Bikira wa kisukuma kaua vibaya mno. Anasema hizi team ushuzi zinafonya kampeni chafu wengi machangudoa na wanywa viroba na. Wamenyweaa kama wamemwagiwa maji ya baridi.:becky::becky:Hongera bikira umegonga ikulu.
 
Iyo Lamborghini ya mshikaji wangu anaitwa katishadabank diamond kaazimwa kwa ajili ya shooting ya nyimbo ya yamoto band ila zari ndo kampa connection diamond na uyo young rich gang

Kuuuuumbe? Haya bwana?
Wako wapi wale wa ndimu? Hahahahaaaaaaaaaa
 
Iyo Lamborghini ya mshikaji wangu anaitwa katishadabank diamond kaazimwa kwa ajili ya shooting ya nyimbo ya yamoto band ila zari ndo kampa connection diamond na uyo young rich gang

Dah unawashkaji matajiri kama alivyo Lemutuz we ni noma.
 
Ebu nisaidie kushangaa, yani watu ni wajinga mno

Hahahahaaa ,binamu ulikua wapi? Yaani hapa nachekaje sasa? Sio kwa kuingia chaka huku jamani.
Halafu bora wasingejigamba sasa...
Wanakimbilia ndimu....
Heheheheee aibu zaoooooo!
 
Barabara za mbagala kwao halipiti hiloo..! Kwani akiendesha hilo na mimi na vitz yangu hatufiki tuendapo...shuga mammy inasaaidia kweli saa ingine..!!
 
mzee wa fix nakuweza sasa,hizo picha za kutoa google nawe ndio unajiona umefikaa,utapasoma kwenye ramaniii chezyaaaaaa

Hahaha picha za kugoogle zinamfariji mtu nae anaona yupo dubai. Kweli Lamborghini imeleta mambo.
 
Yani mi kujiita team naona najidhalilisha mnooo
Ni upuuzi mtupu.Sidhani kama kuna mwanamke ana elimu yake anaweza akjiunga na huu upuuzi usio na tija. Na wengi ukisoma comment zao unaona hawana shule. Wanaenda kwenye page za watu ambao hawaongei kiswahili wanaanza ku comment kiswahili. Hizo ni dalili za mtu ambaye hana elimu wala exposure na hajawahi kutoka nje ya TZ toka kuzaliwa kwake:becky:. Wengi kama amefika form four basi ni shule ya kata. Na pia umri nao unasumbua wengi ni wale MB8 hata maisha hawajui ni nini
 
Bikira wa kisukuma kaua vibaya mno. Anasema hizi team ushuzi zinafonya kampeni chafu wengi machangudoa na wanywa viroba na. Wamenyweaa kama wamemwagiwa maji ya baridi.:becky::becky:Hongera bikira umegonga ikulu.

Wewe huku umepotea njia mwanaume anajiita bikira na bado unatuletea utumbo wake huku? Hapana no way wajinga wajinga wa huko Insta malizaneni nao hukohuko aje hapa ajisajili na hilo jina lake la bikira tumnyooshe na hatorudi tena hapa.
 
Bikira wa kisukuma kaua vibaya mno. Anasema hizi team ushuzi zinafonya kampeni chafu wengi machangudoa na wanywa viroba na. Wamenyweaa kama wamemwagiwa maji ya baridi.:becky::becky:Hongera bikira umegonga ikulu.

Mhh Bikira ana utani na Matola team Wema mtiifu, kumbe ndio shughuli zao hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…