warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ushahidi kwamba kanunuliwa hiyo Lambo na Zari uko wapi?
Au mkishaona mtu kapiga picha na kitu tayari mnameza hook, line, and sinker?
Ebu nisaidie kushangaa, yani watu ni wajinga mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi kwamba kanunuliwa hiyo Lambo na Zari uko wapi?
Au mkishaona mtu kapiga picha na kitu tayari mnameza hook, line, and sinker?
mzee wa fix nakuweza sasa,hizo picha za kutoa google nawe ndio unajiona umefikaa,utapasoma kwenye ramaniii chezyaaaaaa
mzee wa fix nakuweza sasa,hizo picha za kutoa google nawe ndio unajiona umefikaa,utapasoma kwenye ramaniii chezyaaaaaa
Ntampa barua yangu anipitishie ukweni kwangu, ni pale njia panda ya kuelekea Dubai mtaa wa alhushoomhhhhaaaaaa atanguliee yeyee Matola tuletee baibui banaaaa
Umesalimu amri!!
Ushahidi kwamba kanunuliwa hiyo Lambo na Zari uko wapi?
Au mkishaona mtu kapiga picha na kitu tayari mnameza hook, line, and sinker?
Sikuwa nashindana na mtu...
Umekuja kuwa bluff mashabiki wa diamond wakati hujasema otherwise...
Sasa kusema "thanks baby" ni tatizo? What if baby ake ndo cam connect alipate? Shida lugha au shida kureasoan ​tehHata kama nina fix ila Diamobd mwisho simuwezi kabisa eti thanks baby" kha!
Ntampa barua yangu anipitishie ukweni kwangu, ni pale njia panda ya kuelekea Dubai mtaa wa alhushoom
Iyo Lamborghini ya mshikaji wangu anaitwa katishadabank diamond kaazimwa kwa ajili ya shooting ya nyimbo ya yamoto band ila zari ndo kampa connection diamond na uyo young rich gang
Iyo Lamborghini ya mshikaji wangu anaitwa katishadabank diamond kaazimwa kwa ajili ya shooting ya nyimbo ya yamoto band ila zari ndo kampa connection diamond na uyo young rich gang
Ebu nisaidie kushangaa, yani watu ni wajinga mno
Yani mi kujiita team naona najidhalilisha mnoooBikira wa kisukuma kaua vibaya mno. Anasema hizi team ushuzi zinafonya kampeni chafu wengi machangudoa na wanywa viroba na. Wamenyweaa kama wamemwagiwa maji ya baridi.:becky::becky:Hongera bikira umegonga ikulu.
mzee wa fix nakuweza sasa,hizo picha za kutoa google nawe ndio unajiona umefikaa,utapasoma kwenye ramaniii chezyaaaaaa
Umepotea mbebz
Ni upuuzi mtupu.Sidhani kama kuna mwanamke ana elimu yake anaweza akjiunga na huu upuuzi usio na tija. Na wengi ukisoma comment zao unaona hawana shule. Wanaenda kwenye page za watu ambao hawaongei kiswahili wanaanza ku comment kiswahili. Hizo ni dalili za mtu ambaye hana elimu wala exposure na hajawahi kutoka nje ya TZ toka kuzaliwa kwake:becky:. Wengi kama amefika form four basi ni shule ya kata. Na pia umri nao unasumbua wengi ni wale MB8 hata maisha hawajui ni niniYani mi kujiita team naona najidhalilisha mnooo
Bikira wa kisukuma kaua vibaya mno. Anasema hizi team ushuzi zinafonya kampeni chafu wengi machangudoa na wanywa viroba na. Wamenyweaa kama wamemwagiwa maji ya baridi.:becky::becky:Hongera bikira umegonga ikulu.