Matola the word thanks babe... Inaweza kuwa na maana nyingi... Maybe anamshukuru babe ake kwa kufanikisha wao kupata gari kali ya kushoot au kama mnavyotafsiri nyie...Hata kama nina fix ila Diamobd mwisho simuwezi kabisa eti thanks baby" kha!
Yani mi kujiita team naona najidhalilisha mnooo
Ntampa barua yangu anipitishie ukweni kwangu, ni pale njia panda ya kuelekea Dubai mtaa wa alhushoom
Bikira wa kisukuma kaua vibaya mno. Anasema hizi team ushuzi zinafonya kampeni chafu wengi machangudoa na wanywa viroba na. Wamenyweaa kama wamemwagiwa maji ya baridi.:becky::becky:Hongera bikira umegonga ikulu.
Sasa kusema "thanks baby" ni tatizo? What if baby ake ndo cam connect alipate? Shida lugha au shida kureasoan ​teh
Tuheshimane. Naomba biashara ya ku quote mtu ambaye hana biashara na wewe uache.Wewe huku umepotea njia mwanaume anajiita bikira na bado unatuletea utumbo wake huku? Hapana no way wajinga wajinga wa huko Insta malizaneni nao hukohuko aje hapa ajisajili na hilo jina lake la bikira tumnyooshe na hatorudi tena hapa.
Ni upuuzi mtupu.Sidhani kama kuna mwanamke ana elimu yake anaweza akjiunga na huu upuuzi usio na tija. Na wengi ukisoma comment zao unaona hawana shule. Wanaenda kwenye page za watu ambao hawaongei kiswahili wanaanza ku comment kiswahili. Hizo ni dalili za mtu ambaye hana elimu wala exposure na hajawahi kutoka nje ya TZ toka kuzaliwa kwake:becky:. Wengi kama amefika form four basi ni shule ya kata. Na pia umri nao unasumbua wengi ni wale MB8 hata maisha hawajui ni nini
Wewe huku umepotea njia mwanaume anajiita bikira na bado unatuletea utumbo wake huku? Hapana no way wajinga wajinga wa huko Insta malizaneni nao hukohuko aje hapa ajisajili na hilo jina lake la bikira tumnyooshe na hatorudi tena hapa.
:becky::becky::becky: Wamochoka kubeba bata kichwani. Si unajua ukibeba bata jiandae na uharoo:becky:Ahahahaha halafu bikra wa kisukuma ni kimbunga kile hakyamungu!!juzi tu hapa mama ubaya alimpost na kumsifia kwamba swahiba wake,anampenda sana na bla bla kibao, wambea tukasema poaaa!!
Nashangaa leo kampa za uso laivu!!!na idrissa ndio kabisaaa kashachoka kubeba zigo la kinyesi,kawapa mabangoo weeee tani yake mpaka wasanii wengine wakaamua kuunga tela kwenye makavu!!
hapo Tu umenikomeshea mtu arudi huko hukooo
Nampenda Diamond aisee
Anajua sana kucheza na akili zetu
Sasa kusema "thanks baby" ni tatizo? What if baby ake ndo cam connect alipate? Shida lugha au shida kureasoan ​teh
Hapa sasa mnaingilia fani zetu wengine jamani kwa kulazimisha mambo, labda kama ni shooting za vichochoroni.
Nimefanya kazi ya cormecial advertisement for tv kwa miaka kadhaa nje ya Tanzania hayo mambo yote kampuni niliyokuwa nafanya inakupa invoince kila kitu kinafanywa na wao na ndio maana hata Bongo sasa hivi zipo Hammer za kukodi mara nyingi maharusi ndio wanakodi wala siyo swala la connection, na zile Avis car ukitaka self driving pia unakodishwa unaacha passport au id yako then wanakupa gari unaendesha mwenyewe. (siongelei Tanzania)
Sijui level ya upeo wako lakini hapo hakuna cha connection yoyote unless uniambie hiyo shooting hakuna kampuni inayohusika.
Sifanyi kazi hizo kwa sasa lakini naongea sasa professional siyo kufurahisha baraza tusiwe watu wa kuaminishwa kila uongo.
Mhh Bikira ana utani na Matola team Wema mtiifu, kumbe ndio shughuli zao hizo.