Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Hata kama nina fix ila Diamobd mwisho simuwezi kabisa eti thanks baby" kha!
Matola the word thanks babe... Inaweza kuwa na maana nyingi... Maybe anamshukuru babe ake kwa kufanikisha wao kupata gari kali ya kushoot au kama mnavyotafsiri nyie...
 
Last edited by a moderator:
Bikira wa kisukuma kaua vibaya mno. Anasema hizi team ushuzi zinafonya kampeni chafu wengi machangudoa na wanywa viroba na. Wamenyweaa kama wamemwagiwa maji ya baridi.:becky::becky:Hongera bikira umegonga ikulu.

Ahahahaha halafu bikra wa kisukuma ni kimbunga kile hakyamungu!!juzi tu hapa mama ubaya alimpost na kumsifia kwamba swahiba wake,anampenda sana na bla bla kibao, wambea tukasema poaaa!!

Nashangaa leo kampa za uso laivu!!!na idrissa ndio kabisaaa kashachoka kubeba zigo la kinyesi,kawapa mabangoo weeee tani yake mpaka wasanii wengine wakaamua kuunga tela kwenye makavu!!
 
Wewe huku umepotea njia mwanaume anajiita bikira na bado unatuletea utumbo wake huku? Hapana no way wajinga wajinga wa huko Insta malizaneni nao hukohuko aje hapa ajisajili na hilo jina lake la bikira tumnyooshe na hatorudi tena hapa.
Tuheshimane. Naomba biashara ya ku quote mtu ambaye hana biashara na wewe uache.
 
Ni upuuzi mtupu.Sidhani kama kuna mwanamke ana elimu yake anaweza akjiunga na huu upuuzi usio na tija. Na wengi ukisoma comment zao unaona hawana shule. Wanaenda kwenye page za watu ambao hawaongei kiswahili wanaanza ku comment kiswahili. Hizo ni dalili za mtu ambaye hana elimu wala exposure na hajawahi kutoka nje ya TZ toka kuzaliwa kwake:becky:. Wengi kama amefika form four basi ni shule ya kata. Na pia umri nao unasumbua wengi ni wale MB8 hata maisha hawajui ni nini

Hahaha hahahaha.... Acha tu
 
Wewe huku umepotea njia mwanaume anajiita bikira na bado unatuletea utumbo wake huku? Hapana no way wajinga wajinga wa huko Insta malizaneni nao hukohuko aje hapa ajisajili na hilo jina lake la bikira tumnyooshe na hatorudi tena hapa.

hapo Tu umenikomeshea mtu arudi huko hukooo
 
Ahahahaha halafu bikra wa kisukuma ni kimbunga kile hakyamungu!!juzi tu hapa mama ubaya alimpost na kumsifia kwamba swahiba wake,anampenda sana na bla bla kibao, wambea tukasema poaaa!!

Nashangaa leo kampa za uso laivu!!!na idrissa ndio kabisaaa kashachoka kubeba zigo la kinyesi,kawapa mabangoo weeee tani yake mpaka wasanii wengine wakaamua kuunga tela kwenye makavu!!
:becky::becky::becky: Wamochoka kubeba bata kichwani. Si unajua ukibeba bata jiandae na uharoo:becky:
 
Nampenda Diamond aisee
Anajua sana kucheza na akili zetu

umeona eeee watu hapa washaandika magazeti eti wao werevu yaan hadi rahaa maana washasahau kusherehekea tuzo zao hapa wamejaa kuongelea Daimond hhhhhaaaa akili kubwa ya diamond
 
Sasa kusema "thanks baby" ni tatizo? What if baby ake ndo cam connect alipate? Shida lugha au shida kureasoan ​teh

Hapa sasa mnaingilia fani zetu wengine jamani kwa kulazimisha mambo, labda kama ni shooting za vichochoroni.

Nimefanya kazi ya cormecial advertisement for tv kwa miaka kadhaa nje ya Tanzania hayo mambo yote kampuni niliyokuwa nafanya inakupa invoince kila kitu kinafanywa na wao na ndio maana hata Bongo sasa hivi zipo Hammer za kukodi mara nyingi maharusi ndio wanakodi wala siyo swala la connection, na zile Avis car ukitaka self driving pia unakodishwa unaacha passport au id yako then wanakupa gari unaendesha mwenyewe. (siongelei Tanzania)

Sijui level ya upeo wako lakini hapo hakuna cha connection yoyote unless uniambie hiyo shooting hakuna kampuni inayohusika.

Sifanyi kazi hizo kwa sasa lakini naongea sasa professional siyo kufurahisha baraza tusiwe watu wa kuaminishwa kila uongo.
 
Attachments

  • 1434480671563.jpg
    1434480671563.jpg
    31.8 KB · Views: 178

Hili ni gazeti la habari leo au mzalendo? Linafaa sana kufungia bagia.
 
Mhh Bikira ana utani na Matola team Wema mtiifu, kumbe ndio shughuli zao hizo.

Heshima ni kitu cha bure hata kama itafikia nimeshindwa maisha nitaenda kwenye kilimo cha kufa na kupona, kuniita mimi Team Wema ni matusi makubwa kwangu, mimi namkubali Ally Kiba that's it mambo ya Wema na makahaba wenzake hayanihusu ila hakuna wa kunizuia kumtetea Wema ninapoona anaonewa ni kama nilivyomtetea Diamond kwamba swala la mimba anayejuwa ni ya nani siku zote ni mama aliyebeba mimba wamwache Diamond apumuwe.

Tatizo lenu ni moja tu hamtaki kuona makosa ya mnaowashabikia ndio maana wanawageuza kama watoto msiokuwa na akili wakati akili mnazo ila hamtaki kuzitumia.
 
Hapa sasa mnaingilia fani zetu wengine jamani kwa kulazimisha mambo, labda kama ni shooting za vichochoroni.

Nimefanya kazi ya cormecial advertisement for tv kwa miaka kadhaa nje ya Tanzania hayo mambo yote kampuni niliyokuwa nafanya inakupa invoince kila kitu kinafanywa na wao na ndio maana hata Bongo sasa hivi zipo Hammer za kukodi mara nyingi maharusi ndio wanakodi wala siyo swala la connection, na zile Avis car ukitaka self driving pia unakodishwa unaacha passport au id yako then wanakupa gari unaendesha mwenyewe. (siongelei Tanzania)

Sijui level ya upeo wako lakini hapo hakuna cha connection yoyote unless uniambie hiyo shooting hakuna kampuni inayohusika.

Sifanyi kazi hizo kwa sasa lakini naongea sasa professional siyo kufurahisha baraza tusiwe watu wa kuaminishwa kila uongo.

unapendeza uwe mwalimu unaweza hii ni notice toshaaa,ntasoma siku ingine
 
Back
Top Bottom