Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

nifah nimetumiwa hiii aiseee.

Inamaan mnawasaliti…?

Ukisikia ujinga ndio huu ujitekenye mwenyewe ucheke mwenyewe na kujijambisha ujijambishe mwenyewe na dole ujizamishe mwenyewe! Mnatia aibu.
 
Last edited by a moderator:
nifah nimetumiwa hiii aiseee.

Inamaan mnawasaliti…?


maskini yarabiiii utaambiwa sio timu kiba huyo lakin ingekua imeandikwa kuhusu Dai wangeamini na kuchekelea haswaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Bora umelitambua hilo, wengi wao ni waburuzwaji tu hawatumii akili zao.

Hivyo hawafikirii nje ya box la team, hawapo huru wanabisha kila kitu Ilimradi wafurahishe nafsi zao.

Hahaha hahahaha.... I'm a free soul...
 
Baba nanii una bla bla miiiiiiingiii jibu nlichouliza sitaki risala hapo kwenye kusema " thanks baby" shida iko wapi?
 
yaan nimechoka Mie hapo atakuambia kua yupo China sasa sijui yupo japan

Nimekuja usukumani kuna kasehemu kapya wanakaita sijui Diamond nininini sijui pako byee na kuna salon ya kiume hapo hapo misosi ni ya uhakika na kuna kagorofa ukitaka kukaa kwenye kigorofa mbele barabara ya kwenda airport kuna parking na nyuma kuna parking, sasa mbona hapa leo wanishuhudia uongo? Mwanza ndio China? Au Japan?

Kama una mang'ombe huzaga nikuvute zile safari ndefu ukirudi usukumani ukaununuwe ule mlima pale Capri point.
 


karibu we SI umezoea Kula samaki wa baharini ,mafuriko yakija ni mnajichanganya na vinyesiii,,sie huku shwariiiiiii samaki freshhhhhhhhhh alaaaaaaaa,nitauza ngo'mbe twende
 
Baba nanii una bla bla miiiiiiingiii jibu nlichouliza sitaki risala hapo kwenye kusema " thanks baby" shida iko wapi?

Na wewe upo kwenye msafara wa Baba Samira? By the way ningekuwa na baby gal ningefurahi sana natamani sana. (only in JF a person can claim to know annonymous)

Back to topic dogo nia yake imejurikana sioni big deal mashabiki mna la kujifunza kudigest mambo, to me namuona Diamond bado mvulana kwahiyo anaendelea kukuwa, Profesa Jay au Sugu ni wakubwa wenzetu hawawezi kufanya mambo haya ya kitoto.
 
Ha ha ha ha haya baba samira lol umenifurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…