Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nakumbuka ule m vx alilopiga poz la kuficha plate number??
Hahahahaaa....wameshasahau!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka ule m vx alilopiga poz la kuficha plate number??
Hahaha picha za kugoogle zinamfariji mtu nae anaona yupo dubai. Kweli Lamborghini imeleta mambo.
Tuheshimane. Naomba biashara ya ku quote mtu ambaye hana biashara na wewe uache.
Bora umelitambua hilo, wengi wao ni waburuzwaji tu hawatumii akili zao.
Hivyo hawafikirii nje ya box la team, hawapo huru wanabisha kila kitu Ilimradi wafurahishe nafsi zao.
Baba nanii una bla bla miiiiiiingiii jibu nlichouliza sitaki risala hapo kwenye kusema " thanks baby" shida iko wapi?Hapa sasa mnaingilia fani zetu wengine jamani kwa kulazimisha mambo, labda kama ni shooting za vichochoroni.
Nimefanya kazi ya cormecial advertisement for tv kwa miaka kadhaa nje ya Tanzania hayo mambo yote kampuni niliyokuwa nafanya inakupa invoince kila kitu kinafanywa na wao na ndio maana hata Bongo sasa hivi zipo Hammer za kukodi mara nyingi maharusi ndio wanakodi wala siyo swala la connection, na zile Avis car ukitaka self driving pia unakodishwa unaacha passport au id yako then wanakupa gari unaendesha mwenyewe. (siongelei Tanzania)
Sijui level ya upeo wako lakini hapo hakuna cha connection yoyote unless uniambie hiyo shooting hakuna kampuni inayohusika.
Sifanyi kazi hizo kwa sasa lakini naongea sasa professional siyo kufurahisha baraza tusiwe watu wa kuaminishwa kila uongo.
yaan nimechoka Mie hapo atakuambia kua yupo China sasa sijui yupo japan
Watu wanapata kichefu chefu buuuureeee hata mimba hawanaThat's my point.....
Hili ni gazeti la habari leo au mzalendo? Linafaa sana kufungia bagia.
Nimekuja usukumani kuna kasehemu kapya wanakaita sijui Diamond nininini sijui pako byee na kuna salon ya kiume hapo hapo misosi ni ya uhakika na kuna kagorofa ukitaka kukaa kwenye kigorofa mbele barabara ya kwenda airport kuna parking na nyuma kuna parking, sasa mbona hapa leo wanishuhudia uongo? Mwanza ndio China? Au Japan?
Kama una mang'ombe huzaga nikuvute zile safari ndefu ukirudi usukumani ukaununuwe ule mlima pale Capri point.
Watu wanapata kichefu chefu buuuureeee hata mimba hawana
Baba nanii una bla bla miiiiiiingiii jibu nlichouliza sitaki risala hapo kwenye kusema " thanks baby" shida iko wapi?
Achana na hayo mambo ya IG bwana, huko kuna mamburula tu ndio maana siko interested.
Watu wanapata kichefu chefu buuuureeee hata mimba hawana
Bibi harry porter mambo!!!
Baba nanii una bla bla miiiiiiingiii jibu nlichouliza sitaki risala hapo kwenye kusema " thanks baby" shida iko wapi?
Ukmnunulia utuekee kapicha bila caption ili tuvurugane ha ha haDear nipo huku dunia ya saba napigika kutafuta mahela nami nimununulie babe wangu Spacio....
Ha ha ha ha haya baba samira lol umenifurahishaNa wewe upo kwenye msafara wa Baba Samira? By the way ningekuwa na baby gal ningefurahi sana natamani sana. (only in JF a person can claim to know annonymous)
Back to topic dogo nia yake imejurikana sioni big deal mashabiki mna la kujifunza kudigest mambo, to me namuona Diamond bado mvulana kwahiyo anaendelea kukuwa, Profesa Jay au Sugu ni wakubwa wenzetu hawawezi kufanya mambo haya ya kitoto.