Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady


kwani utaratibu wa kampuni uliofanyakazi ndio utaratibu dunia nzima???
 
yaan magazeti mi nitasoma siku nyinginee,bora ingekua tishu tungejifutia mikono

dina unanivunja mbavu wallah tena!wanaleta unafiki wao hapa nani hajui kama hata wao ni majinga!?
Kuna ujinga mkuu duniani kama kumpigia kura mtu wa nje na kumuacha mtz mwenzako?
 
kwani utaratibu wa kampuni uliofanyakazi ndio utaratibu dunia nzima???

Kwenye vitu proffesional ni vyema ukawa na heshima, humu kuna mainjini wanasheria na kadharika wanapotoa material sisi wengine huwa kazi yetu ni kudaka mawili matatu.

Hivi shooting kwa mfano ya tangazo tu unajuwa ni kampuni ngapi huwa zipo location na kwa department zipi?

Hapa utaambulia sifuri na kwa taarifa yako wakati narudi Tanzania hata benchmark walikuwa hawajaanza kazi ndio kidogo atleast ni kampuni ambayo ningeweza kufanya nao kazi kwanza sina haja ya kukueleza mengi unanipotezea muda wangu tu.
 
Ahahahaha dina hivi wewe umetoka nchi gani vile??mi nilikuwa japan nasimamia gari ya domo kuja tanzania wewe je? Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
dina unanivunja mbavu wallah tena!wanaleta unafiki wao hapa nani hajui kama hata wao ni majinga!?
Kuna ujinga mkuu duniani kama kumpigia kura mtu wa nje na kumuacha mtz mwenzako?


nitakuja pm nikupe ule ubuyuu ,,,,magazeti sisomi mieee wawapelekee watoto wao wasome
 
Umeongea kweli mtupu hizo team ushuzi ni za watoto wa mulugo
 

blah blah blah just answer a simple question.....utaratibu wa kampuni uliofanyia kazi ndio utaratibu wa dunia nzima?? nimefanyakazi sana kwenye car rentals nazijua inside out.
 
Diamond we ni noumarr sana jua sanaa kucheza na akiri za watu kama hapoo <figure of speech) halafu anajua kujipiga promo aisee, daaah ila jamaa kama ni certifications za attention seeking jamaa ana postgraduate aiseee...mimi namkubali sana huyu jamaa mzee wa miongezeko ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…