Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Hapa sasa mnaingilia fani zetu wengine jamani kwa kulazimisha mambo, labda kama ni shooting za vichochoroni.

Nimefanya kazi ya cormecial advertisement for tv kwa miaka kadhaa nje ya Tanzania hayo mambo yote kampuni niliyokuwa nafanya inakupa invoince kila kitu kinafanywa na wao na ndio maana hata Bongo sasa hivi zipo Hammer za kukodi mara nyingi maharusi ndio wanakodi wala siyo swala la connection, na zile Avis car ukitaka self driving pia unakodishwa unaacha passport au id yako then wanakupa gari unaendesha mwenyewe. (siongelei Tanzania)

Sijui level ya upeo wako lakini hapo hakuna cha connection yoyote unless uniambie hiyo shooting hakuna kampuni inayohusika.

Sifanyi kazi hizo kwa sasa lakini naongea sasa professional siyo kufurahisha baraza tusiwe watu wa kuaminishwa kila uongo.

kwani utaratibu wa kampuni uliofanyakazi ndio utaratibu dunia nzima???
 
yaan magazeti mi nitasoma siku nyinginee,bora ingekua tishu tungejifutia mikono

dina unanivunja mbavu wallah tena!wanaleta unafiki wao hapa nani hajui kama hata wao ni majinga!?
Kuna ujinga mkuu duniani kama kumpigia kura mtu wa nje na kumuacha mtz mwenzako?
 
kwani utaratibu wa kampuni uliofanyakazi ndio utaratibu dunia nzima???

Kwenye vitu proffesional ni vyema ukawa na heshima, humu kuna mainjini wanasheria na kadharika wanapotoa material sisi wengine huwa kazi yetu ni kudaka mawili matatu.

Hivi shooting kwa mfano ya tangazo tu unajuwa ni kampuni ngapi huwa zipo location na kwa department zipi?

Hapa utaambulia sifuri na kwa taarifa yako wakati narudi Tanzania hata benchmark walikuwa hawajaanza kazi ndio kidogo atleast ni kampuni ambayo ningeweza kufanya nao kazi kwanza sina haja ya kukueleza mengi unanipotezea muda wangu tu.
 
Ahahahaha dina hivi wewe umetoka nchi gani vile??mi nilikuwa japan nasimamia gari ya domo kuja tanzania wewe je? Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
dina unanivunja mbavu wallah tena!wanaleta unafiki wao hapa nani hajui kama hata wao ni majinga!?
Kuna ujinga mkuu duniani kama kumpigia kura mtu wa nje na kumuacha mtz mwenzako?

nitakuja pm nikupe ule ubuyuu ,,,,magazeti sisomi mieee wawapelekee watoto wao wasome
 
Ni upuuzi mtupu.Sidhani kama kuna mwanamke ana elimu yake anaweza akjiunga na huu upuuzi usio na tija. Na wengi ukisoma comment zao unaona hawana shule. Wanaenda kwenye page za watu ambao hawaongei kiswahili wanaanza ku comment kiswahili. Hizo ni dalili za mtu ambaye hana elimu wala exposure na hajawahi kutoka nje ya TZ toka kuzaliwa kwake:becky:. Wengi kama amefika form four basi ni shule ya kata. Na pia umri nao unasumbua wengi ni wale MB8 hata maisha hawajui ni nini
Umeongea kweli mtupu hizo team ushuzi ni za watoto wa mulugo
 
Kwenye vitu proffesional ni vyema ukawa na heshima, humu kuna mainjini wanasheria na kadharika wanapotoa material sisi wengine huwa kazi yetu ni kudaka mawili matatu.

Hivi shooting kwa mfano ya tangazo tu unajuwa ni kampuni ngapi huwa zipo location na kwa department zipi?

Hapa utaambulia sifuri na kwa taarifa yako wakati narudi Tanzania hata benchmark walikuwa hawajaanza kazi ndio kidogo atleast ni kampuni ambayo ningeweza kufanya nao kazi kwanza sina haja ya kukueleza mengi unanipotezea muda wangu tu.

blah blah blah just answer a simple question.....utaratibu wa kampuni uliofanyia kazi ndio utaratibu wa dunia nzima?? nimefanyakazi sana kwenye car rentals nazijua inside out.
 
Diamond we ni noumarr sana jua sanaa kucheza na akiri za watu kama hapoo <figure of speech) halafu anajua kujipiga promo aisee, daaah ila jamaa kama ni certifications za attention seeking jamaa ana postgraduate aiseee...mimi namkubali sana huyu jamaa mzee wa miongezeko ......
 
Back
Top Bottom