Ungeniona mie basi furaha niliyopata hadi raha kwa kweli, watu wamechabganikiwa hadi wanatangaza nia jioni hata hawakusubiri wakati wa asubuhi wapate promo haraka.
Mtoto wa Tandale kaliweka kitokee kwenye kideo cha Yamotoband
Walipata presha vibaya mno kuona hiyo gari. Team zote ushuzi zikakimbilia kutafuta mmiliki ni nani. Sasa si ujinga huoo.Yaani unaugua kwa maisha ya Instagram. Badala mtu ahangaike ajikwamue kiuchumi anahangaika na kufuatilia maisha ya mtu mwingine:becky:Twende na ukweli kama hio ndinga kweli ingekua platnumz kazawadiwa na Zari kuna watu leo wangelala usingizi wa mang'amng'am yani raia kusikia hizo taarifa walitoa macho utazani wamekabwa na nini sijui ila waliposikia sio wakashusha pumzi na kuanza kucomment ooh dogo anapenda kujipa promo teh teh tuache wivu jaman tukubali tu mshkaji katuzidi na sisi tukomae ata kama tusipomfikia.
Diamond ni vizuri kupenda vikubwa na usiridhike we endelea kutoil tu. Aim higher so that your failures could be your success!!!!
Kimbley kiss langu Hilo aje na Evelyn Salt nimkiss piaaaaa mwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
"Ukiwa na chuki vumilia mungu ndio kaisha panga" nimepapenda hapo.....
Walipata presha vibaya mno kuona hiyo gari. Team zote ushuzi zikakimbilia kutafuta mmiliki ni nani. Sasa si ujinga huoo.Yaani unaugua kwa maisha ya Instagram. Badala mtu ahangaike ajikwamue kiuchumi anahangaika na kufuatilia maisha ya mtu mwingine:becky:
diamond ata siku aweke chupi itakua topic humu jf
"Ukiwa na chuki vumilia mungu ndio kaisha panga" nimepapenda hapo.....
Twende na ukweli kama hio ndinga kweli ingekua platnumz kazawadiwa na Zari kuna watu leo wangelala usingizi wa mang'amng'am yani raia kusikia hizo taarifa walitoa macho utazani wamekabwa na nini sijui ila waliposikia sio wakashusha pumzi na kuanza kucomment ooh dogo anapenda kujipa promo teh teh tuache wivu jaman tukubali tu mshkaji katuzidi na sisi tukomae ata kama tusipomfikia.
Diamond ni vizuri kupenda vikubwa na usiridhike we endelea kutoil tu. Aim higher so that your failures could be your success!!!!
Ha ha ha et usingizi wa mang'amng'am lol.....kisa diamondTwende na ukweli kama hio ndinga kweli ingekua platnumz kazawadiwa na Zari kuna watu leo wangelala usingizi wa mang'amng'am yani raia kusikia hizo taarifa walitoa macho utazani wamekabwa na nini sijui ila waliposikia sio wakashusha pumzi na kuanza kucomment ooh dogo anapenda kujipa promo teh teh tuache wivu jaman tukubali tu mshkaji katuzidi na sisi tukomae ata kama tusipomfikia.
Diamond ni vizuri kupenda vikubwa na usiridhike we endelea kutoil tu. Aim higher so that your failures could be your success!!!!
"Ukiwa na chuki vumilia mungu ndio kaisha panga" nimepapenda hapo.....
ahahahaa platnum ni shida ile!Zembwela alisema Dhahabu ukiichoma moto ndio kwanza inazidi kung'aa!
Wolpar ameshawaambia haterz wa domo kwamba kama hawana vocha ya kupiga kura basi wapige hodi kwake!,na amewaambia kwamba mungu ameshapanga kwa chibu kwa hiyo wavumilie tu
Si diamond tu,dj choka alishawahi kuweka chupi ya mke wake Insta ikawa topic
Naona umehamia google ha ha ha mara ugoogle magorofa mara magari lol leo utaota LamborghinZingine hizi hapa kwa anayetaka kukodi in South Africa.
ahahahaha yaani lile bango hasa!halafu dida naye kichomii!petitman wakuache amepost tu picha ya madam kutaka ubunge viti maalum kwa tiketi ya CCM singida huko basi dida akaidaka fasta!!akaturushia wambea tukaidaka!baadae kidogo anakuja na dongo!mweh
Haswa
Neno hilo kalitoa Wolper, yeye na Penny wanajitambua kuwa ni ladies sio mtu kung'ang'ania wivu na kutamani wakati mwenzio ana maisha yake ka vile walizaliwa wamela.lana anavyofanya.
Walipata presha vibaya mno kuona hiyo gari. Team zote ushuzi zikakimbilia kutafuta mmiliki ni nani. Sasa si ujinga huoo.Yaani unaugua kwa maisha ya Instagram. Badala mtu ahangaike ajikwamue kiuchumi anahangaika na kufuatilia maisha ya mtu mwingine:becky:
Hahahaahahah wanazidi kununa hadi mashavu yanaelekea kupasuka
Naifananisha kampeni yako chafu na kampeni za wapinzani kumng'oa nkurunzinza kwani walifanikiww basi? The rest ni history hahahaahahah
Penda sana nyie dadaz Dinazarde Evelyn Salt na Kimbley
Hollaaaaa pamoja sana.