Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Twende na ukweli kama hio ndinga kweli ingekua platnumz kazawadiwa na Zari kuna watu leo wangelala usingizi wa mang'amng'am yani raia kusikia hizo taarifa walitoa macho utazani wamekabwa na nini sijui ila waliposikia sio wakashusha pumzi na kuanza kucomment ooh dogo anapenda kujipa promo teh teh tuache wivu jaman tukubali tu mshkaji katuzidi na sisi tukomae ata kama tusipomfikia.

Diamond ni vizuri kupenda vikubwa na usiridhike we endelea kutoil tu. Aim higher so that your failures could be your success!!!!
 
Ungeniona mie basi furaha niliyopata hadi raha kwa kweli, watu wamechabganikiwa hadi wanatangaza nia jioni hata hawakusubiri wakati wa asubuhi wapate promo haraka.

Mtoto wa Tandale kaliweka kitokee kwenye kideo cha Yamotoband

ahahahaa platnum ni shida ile!Zembwela alisema Dhahabu ukiichoma moto ndio kwanza inazidi kung'aa!

Wolpar ameshawaambia haterz wa domo kwamba kama hawana vocha ya kupiga kura basi wapige hodi kwake!,na amewaambia kwamba mungu ameshapanga kwa chibu kwa hiyo wavumilie tu
 
Twende na ukweli kama hio ndinga kweli ingekua platnumz kazawadiwa na Zari kuna watu leo wangelala usingizi wa mang'amng'am yani raia kusikia hizo taarifa walitoa macho utazani wamekabwa na nini sijui ila waliposikia sio wakashusha pumzi na kuanza kucomment ooh dogo anapenda kujipa promo teh teh tuache wivu jaman tukubali tu mshkaji katuzidi na sisi tukomae ata kama tusipomfikia.

Diamond ni vizuri kupenda vikubwa na usiridhike we endelea kutoil tu. Aim higher so that your failures could be your success!!!!
Walipata presha vibaya mno kuona hiyo gari. Team zote ushuzi zikakimbilia kutafuta mmiliki ni nani. Sasa si ujinga huoo.Yaani unaugua kwa maisha ya Instagram. Badala mtu ahangaike ajikwamue kiuchumi anahangaika na kufuatilia maisha ya mtu mwingine:becky:
 
Attachments

  • Camera360_2015_5_18_112811_jpg.jpg
    Camera360_2015_5_18_112811_jpg.jpg
    2.2 KB · Views: 220
  • Camera360_2015_6_16_111001_jpg.jpg
    Camera360_2015_6_16_111001_jpg.jpg
    3.2 KB · Views: 223
Last edited by a moderator:
Walipata presha vibaya mno kuona hiyo gari. Team zote ushuzi zikakimbilia kutafuta mmiliki ni nani. Sasa si ujinga huoo.Yaani unaugua kwa maisha ya Instagram. Badala mtu ahangaike ajikwamue kiuchumi anahangaika na kufuatilia maisha ya mtu mwingine:becky:

kwani wana akili hao misukule sasaas
 
Twende na ukweli kama hio ndinga kweli ingekua platnumz kazawadiwa na Zari kuna watu leo wangelala usingizi wa mang'amng'am yani raia kusikia hizo taarifa walitoa macho utazani wamekabwa na nini sijui ila waliposikia sio wakashusha pumzi na kuanza kucomment ooh dogo anapenda kujipa promo teh teh tuache wivu jaman tukubali tu mshkaji katuzidi na sisi tukomae ata kama tusipomfikia.

Diamond ni vizuri kupenda vikubwa na usiridhike we endelea kutoil tu. Aim higher so that your failures could be your success!!!!

Zingine hizi hapa kwa anayetaka kukodi in South Africa.
 
Attachments

  • 1434485860398.jpg
    1434485860398.jpg
    9.9 KB · Views: 129
  • 1434485874638.jpg
    1434485874638.jpg
    23.3 KB · Views: 120
  • 1434485887309.jpg
    1434485887309.jpg
    14.3 KB · Views: 114
Twende na ukweli kama hio ndinga kweli ingekua platnumz kazawadiwa na Zari kuna watu leo wangelala usingizi wa mang'amng'am yani raia kusikia hizo taarifa walitoa macho utazani wamekabwa na nini sijui ila waliposikia sio wakashusha pumzi na kuanza kucomment ooh dogo anapenda kujipa promo teh teh tuache wivu jaman tukubali tu mshkaji katuzidi na sisi tukomae ata kama tusipomfikia.

Diamond ni vizuri kupenda vikubwa na usiridhike we endelea kutoil tu. Aim higher so that your failures could be your success!!!!
Ha ha ha et usingizi wa mang'amng'am lol.....kisa diamond
 
"Ukiwa na chuki vumilia mungu ndio kaisha panga" nimepapenda hapo.....

ahahahaha yaani lile bango hasa!halafu dida naye kichomii!petitman wakuache amepost tu picha ya madam kutaka ubunge viti maalum kwa tiketi ya CCM singida huko basi dida akaidaka fasta!!akaturushia wambea tukaidaka!baadae kidogo anakuja na dongo!mweh
 
ahahahaa platnum ni shida ile!Zembwela alisema Dhahabu ukiichoma moto ndio kwanza inazidi kung'aa!

Wolpar ameshawaambia haterz wa domo kwamba kama hawana vocha ya kupiga kura basi wapige hodi kwake!,na amewaambia kwamba mungu ameshapanga kwa chibu kwa hiyo wavumilie tu

Haswa

Neno hilo kalitoa Wolper, yeye na Penny wanajitambua kuwa ni ladies sio mtu kung'ang'ania wivu na kutamani wakati mwenzio ana maisha yake ka vile walizaliwa wamela.lana anavyofanya.
 
ahahahaha yaani lile bango hasa!halafu dida naye kichomii!petitman wakuache amepost tu picha ya madam kutaka ubunge viti maalum kwa tiketi ya CCM singida huko basi dida akaidaka fasta!!akaturushia wambea tukaidaka!baadae kidogo anakuja na dongo!mweh

Aaagj ngoja nikasome mie nicheke

Umbeya unanikalisha nionekane ka sweet 16
 
Haswa

Neno hilo kalitoa Wolper, yeye na Penny wanajitambua kuwa ni ladies sio mtu kung'ang'ania wivu na kutamani wakati mwenzio ana maisha yake ka vile walizaliwa wamela.lana anavyofanya.

halafu watu wamewachoka yeye na jokate wao,Namwangalia DJ TASS sasa hivi hapa kwenye MAISHA MAGIC EAST,amepiga nyimbo ya domo halafu anasema haamini kama sasa hivi amefika mbali,ahaaha amemfagiliaje sasa
 
Last edited by a moderator:
Walipata presha vibaya mno kuona hiyo gari. Team zote ushuzi zikakimbilia kutafuta mmiliki ni nani. Sasa si ujinga huoo.Yaani unaugua kwa maisha ya Instagram. Badala mtu ahangaike ajikwamue kiuchumi anahangaika na kufuatilia maisha ya mtu mwingine:becky:

kweli kabisa mkuu yani kuna watu wanajichumia dhambi za bure adi Mungu anashangaa maana huwezi niambia mtu anapiga promo kabisa kua eti tuvote kwa sijui davido au wizkid huku akimponda mtanzania mwenzake, ukiuliza ata kuonana nae live hajawai ni kwenye mitandao tu ila unakuta mtu ana chuki adi unaogopa ila ukija kuchunguza kwa undani unapata jibu kua ni wivu tu ndio unamdrive mtu kua hivyo.
 
Hahahaahahah wanazidi kununa hadi mashavu yanaelekea kupasuka

Naifananisha kampeni yako chafu na kampeni za wapinzani kumng'oa nkurunzinza kwani walifanikiww basi? The rest ni history hahahaahahah

Penda sana nyie dadaz Dinazarde Evelyn Salt na Kimbley

Hollaaaaa pamoja sana.

love you toooo!!Dj Tass ametoa dongo huko maisha magic ahahaha!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom