Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

tumekusikia ukitaka kulala unywe maji lita 2 ,utalala vyema hutaota lambojin tu

Mimi nakushauri tu seti vizuri mwanga wa screen yako maana wiki hii mimacho itakuwa myekundu na huko ulipo mimacho ikiwa myekundu waweza kuuwawa wakidhania wewe ni mchawi kumbe umbea wa JF.

By the way hivi hao shemeji zetu mnawapaga saa ngapi huduma za ndoa? Maana kupika mtasema dada wa kazi yupoB-) ;-)
 

gazeti refu anyway kuna sehemu diamond ameclaim kua gari ni lake?
 
Jamani inabidi tu Diamond apige show ingine haraka tena ile ya juu kwa juu nahamu ya kucheza miziki yake

Tupo bado tunafurahia kuwa nominated kwa African Achievers award na MTV Africa

Usisahau kumpigia kura kijana wa Tanzania

**********
Achana na wale wanaoshadadia uchungu wa mapenzi yaliyopita wanayalilia na wengi wanafata mkumbo mapenzi yao hawajui hata kama yapo au watakuja pata shuti kututia aibu Tanzania watuone kama MUMUs
**************

Haya link hii unaweza piga mara nyingi kwa kila moja kila siku pia

http://mama.mtv.com/voting/

View attachment 260958
 
Lamborghin ingekua ya diamond leo boxer ingembana lol kachachawa amebaki anagoogle google tu

Inaelekea waongo wote mnaichukia sana google?
Mimi nawashangaa sana mbona Diamond ana maisha mazuri tu? Ana kampuni inaoparate ana management nzuri, amejenga ana akiba yake bank ana asset zake anazojuwa mwenyewe hivi kupinga uongo ndio kosa la sisi kina Pangu pakavu?

Basi ngoja na mimi niseme Lambojini ni ya Diamond haya nigongeeni like sasa.
 
Idris nae alirusha haya instagram mengine ameyafuta unajua tena uwoga wengine huwaingia

 
Ha ha ha sasa unauliza nini wewe mbona na we unashinda humu, mkeo unamhudumia saa ngapi?
 
Hehee binadamu kwa vijiba vya roho hatari. Watu wana roho za nyani hawataki kuona mtu anapata wanataka afikwe na majanga tu.
 
Matola uapinga uongo upi???kuna mahali diamond kasema ile gari ni yake????
 

Ewaaaa!!hapo sasa sawa japo kinyumenyume hivo tutafika tu!
 
Sikuwahi kufikiria mwanamuziki wa Tanzania atakubalika Nigeria. Sikufikiria zama hizi kuona channel ya Kifaransa inacheza wimbo wa Mtanzania tena mpya.

Badala ya wanamuziki wa bongo kumchukia Diamond, wamuige na kumshukuru, keshafungua njia.

Kaza buti usife moyo Bro. Hawakuwezi wanafunga mlango farasi keshatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…