Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Dina anakuambia google na vikombe na masahani ha ha ha
heheeeeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dina anakuambia google na vikombe na masahani ha ha ha
Lamborghin ingekua ya diamond leo boxer ingembana lol kachachawa amebaki anagoogle google tu
tumekusikia ukitaka kulala unywe maji lita 2 ,utalala vyema hutaota lambojin tu
Wewe chizi nini? Kwani Diamond hana gari? Tena amelipia milioni 5 kuandikwa jina lake kwenye plate number, mimi nimchukie Diamond kwa lipi? Ana maisha yake nami nina yangu, hapa tupo kwenye kuonesha batwili ipi na kweli ni ipi baaasi nothing special, hapa siyo huko mlipozoea kudanganyana hapa tunakwenda kwa fact na vivid evidence. Umenuna?
Hivi hizi thread zitasomwa miaka na miaka na watu watakuwa wanapata reference humuhumu hata zikianzishwa tuzo za msanii wa fix vijana watakuwa hawapati tabu kupekuwa maktaba.
Lamborghin ingekua ya diamond leo boxer ingembana lol kachachawa amebaki anagoogle google tu
Ha ha ha sasa unauliza nini wewe mbona na we unashinda humu, mkeo unamhudumia saa ngapi?Mimi nakushauri tu seti vizuri mwanga wa screen yako maana wiki hii mimacho itakuwa myekundu na huko ulipo mimacho ikiwa myekundu waweza kuuwawa wakidhania wewe ni mchawi kumbe umbea wa JF.
By the way hivi hao shemeji zetu mnawapaga saa ngapi huduma za ndoa? Maana kupika mtasema dada wa kazi yupoB-) ;-)
Matola uapinga uongo upi???kuna mahali diamond kasema ile gari ni yake????Inaelekea waongo wote mnaichukia sana google?
Mimi nawashangaa sana mbona Diamond ana maisha mazuri tu? Ana kampuni inaoparate ana management nzuri, amejenga ana akiba yake bank ana asset zake anazojuwa mwenyewe hivi kupinga uongo ndio kosa la sisi kina Pangu pakavu?
Basi ngoja na mimi niseme Lambojini ni ya Diamond haya nigongeeni like sasa.
Inaelekea waongo wote mnaichukia sana google?
Mimi nawashangaa sana mbona Diamond ana maisha mazuri tu? Ana kampuni inaoparate ana management nzuri, amejenga ana akiba yake bank ana asset zake anazojuwa mwenyewe hivi kupinga uongo ndio kosa la sisi kina Pangu pakavu?
Basi ngoja na mimi niseme Lambojini ni ya Diamond haya nigongeeni like sasa.
Huyo nae farasi tu wakati alivoshinda BBA davido akatweet kua wamecheat kumpa ushindi sahivi anatetea nini aishie huko na sura ake ndefu kama ya punda aka vote salama hajakatazwaIdris nae alirusha haya instagram mengine ameyafuta unajua tena uwoga wengine huwaingia
View attachment 260959
Huyo nae farasi tu wakati alivoshinda BBA davido akatweet kua wamecheat kumpa ushindi sahivi anatetea nini aishie huko na sura ake ndefu kama ya punda aka vote salama hajakatazwa
Kwani Kiba hayupo MTV nae tumpigie kura mazee ?
hahaha.....success is the only language haters will understand
Ha ha ha sasa unauliza nini wewe mbona na we unashinda humu, mkeo unamhudumia saa ngapi?