we nyani kumbe ujanja wote unajua kubeba mabox tu,yaani uliamini kaMA KWELI dogo kanunuliwa lamborghini:glasses-nerdy:
Wow wewe sema kwanini haukuamini au hauamini? Baada ya kusoma humu au Diamond aliporusha kideo baada ya picha?
Karibu kwenye udaku
Huyo nae farasi tu wakati alivoshinda BBA davido akatweet kua wamecheat kumpa ushindi sahivi anatetea nini aishie huko na sura ake ndefu kama ya punda aka vote salama hajakatazwa
Mzuri hulalagi weye
Nimeshalala
Mambo ya shughuli zingine usipoamka mapema kusawazisha baadae kazi ipo.
Duh!.....We unao ushahidi kuwa we ni mtoto wa baba ako?
Duuu haya pigika mwaya
Yupo hapa ila hajajuwa aongee nini!Nifah atajinyonga nawambien jaman.
Duuu haya pigika mwaya
Yaani nimemaliza kuweka mambo sawa kwa docs, then nimepiga kura za kuamka asubuhi 30 kwa kila kategori. Now naingia sinzia labda hadi saa nzima then niamke.
Msisahau kupiga kura
http://mama.mtv.com/voting/
View attachment 260992
we mkeo unamumhudumia saa ngapi muda wote upo umbeani tunashinda wote,ukinipa jiby ndio jibu
Sie huku kwetu ndo jogoo anawika kumekucha,ulale salama uote hii ndinga ya leo ha ha ha good night matola
Jamani wazee wa Lamborgini na majobless wenzangu mupoo? Haya mimi ndio nimeingia shift ya asubuhi na mb300.
Mwenye gari na gari lake lol....
Jamani wazee wa Lamborgini na majobless wenzangu mupoo? Haya mimi ndio nimeingia shift ya asubuhi na mb300.
Mshachanganyikiwa tayari ha ha ha:becky:
Hujasoma maandishi
Pembeni ya hiyo picha ya gari?diamond kasema"thanks baby,its finally here".au utafsiriwe?
Teh huyo bikira ana maneno #teamnigeria #teammachangudoa tehmadongo alikuwa anarushia timu ya miss kama hiyo ya bleach etc, yupo juu kumpa sapoti Diamond, ila kufuta labda kaogopa kumalizwa mtandaoni na timu housegirls hiyo ya housegirls kashusha bikrawakisukuma alivyowaponda eti timu nigeria.
Eti Matola hawa wazee wa lamborgini wanasema domo kanunuliwa nin? Na nani?