Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

we nyani kumbe ujanja wote unajua kubeba mabox tu,yaani uliamini kaMA KWELI dogo kanunuliwa lamborghini:glasses-nerdy:

Wow wewe sema kwanini haukuamini au hauamini? Baada ya kusoma humu au Diamond aliporusha kideo baada ya picha?

Karibu kwenye udaku
 
Huyo nae farasi tu wakati alivoshinda BBA davido akatweet kua wamecheat kumpa ushindi sahivi anatetea nini aishie huko na sura ake ndefu kama ya punda aka vote salama hajakatazwa

madongo alikuwa anarushia timu ya miss kama hiyo ya bleach etc, yupo juu kumpa sapoti Diamond, ila kufuta labda kaogopa kumalizwa mtandaoni na timu housegirls hiyo ya housegirls kashusha bikrawakisukuma alivyowaponda eti timu nigeria.
 
Duuu haya pigika mwaya

Yaani nimemaliza kuweka mambo sawa kwa docs, then nimepiga kura za kuamka asubuhi 30 kwa kila kategori. Now naingia sinzia labda hadi saa nzima then niamke.

Msisahau kupiga kura

http://mama.mtv.com/voting/

1434510432268.jpg
 
we mkeo unamumhudumia saa ngapi muda wote upo umbeani tunashinda wote,ukinipa jiby ndio jibu

Sie huku kwetu ndo jogoo anawika kumekucha,ulale salama uote hii ndinga ya leo ha ha ha good night matola

Jamani wazee wa Lamborgini na majobless wenzangu mupoo? Haya mimi ndio nimeingia shift ya asubuhi na mb300.
 
Jamani wazee wa Lamborgini na majobless wenzangu mupoo? Haya mimi ndio nimeingia shift ya asubuhi na mb300.

Eti Matola hawa wazee wa lamborgini wanasema domo kanunuliwa nin? Na nani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom