born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
Wengine hata hatujui aina za magari lakini hata iwe Ferari sijui posche ama Vits tunachojua ni kua kanunuliwa gari
We unao ushahidi kuwa we ni mtoto wa baba ako?
Na hapa ni lugha nyepesi kabisa yani lugha lainiiiii thanks baby oooh mana ake ahsante mtoto ha ha ha angeongea kiingereza cha uvunguni je watu si wangekufwa......ha ha ha lugha ilipanda ndege diamond siku ingine tumia lugha ilokuja na jahazi na ambao hawajasoma inglish kozi waeleweNitafsirie ndugu yangu.. thnks baby its finally here ni sawa na thanks bby for buying me this car?? Lugha si yetu hiii im just asking
Eti Matola hawa wazee wa lamborgini wanasema domo kanunuliwa nin? Na nani?
Teh huyo bikira ana maneno #teamnigeria #teammachangudoa teh
Na wewe naye badala ya kupaisha kazi ya kaka unataka kujua ya mondi.
Eeh hakuna mauaji mbona yalishaishaga zamani, Diamond anawasaidia Yamoto Band kutoa video mpya ya kuwika na amewapa tafu yeye wote wapo South Africa wanarekodi na hilo gari linatumika katika video. Ana roho nzuri sana kusaidia kuinua mziki wa TZ.
Mungu azidi kumbariki
Tena dada yake kiba yumo humu cute b ndio anaongoza promo ya kuomba watu wawapigie kura wanigeria. So hii inaonyesha issue hii ni kubwa katika familia ya kiba kwa kuumia kuona Diamond anafanikiwa wakati wao wamekaa chini hawaji na kitu chochote kipya.
dadake alijisema kuwemo siku nyumbani kiba kadai kaibiwa chezea maneno ya wadau humu kutetea kitu akajisema.
Kitu hiki hata Diamond akiacha muziki kesho wanategemea kiba atapanda kuwa yeye? Kwanini hawajipaishi nao wapae na sio kwamba nafasi hakuna, maisha yake kwenda USA anadanganya na picha anaomba kupiga 1st class huku kasafiri economy maisha feki feki kisa awe Diamond. Tuzo wamepata bado kuungilia MTV kuomba watu wasimpigie kura.
Hii ya wema na kiba kusapoti watu watumie majina yao kuomba kura wapigiwe watu wa nchi zingine, wameenda mbali na wivu, wanaweza kutoa roho ya mtu, khaaaaa. Inabidi ujumbe waandike kuwakataza. Wanatutia aibu wa Tanzania wanategemea kwao wao haitakuwa hivi? If yes wanaota. T 4 T
Umbea ni umbea tuu haijalishi ni wa nani upooo?
Na hapa ni lugha nyepesi kabisa yani lugha lainiiiii thanks baby oooh mana ake ahsante mtoto ha ha ha angeongea kiingereza cha uvunguni je watu si wangekufwa......ha ha ha lugha ilipanda ndege diamond siku ingine tumia lugha ilokuja na jahazi na ambao hawajasoma inglish kozi waelewe
Ukija kwako unajalisha maana upo busy kuomba watu wawapigie kura akina davido wanigeria na kuacha kupeperusha nchi yetu, kisa kaka yako awe ka Diamond na asichukue tuzovza MTV Africa.
Sasa uwanja wenu hakuna aliyeshikilia na pingu. Mwacheni Diamond afanye yake na nyie mfanye yenu. Wivu wa nini?
Umebweka tuu kama mbwa sijajua point yako ni nini haswa.
Acha kumuingiza Ali na familia yake kwenye ujinga wenu wa mitandaoni
Kama kaazima seat kupiga picha we si ukae kimya umeliweka kichwani week sasa hivi kichwa hakiumi?
Kama kawaida unaandikaga hivi ukijua ni ukweli mtupu.... Nyani haoni....
Unatumia nguvu nyiiiingi kuiongelea Lamborghin wakati sahivi diamond yupo shooting hebu kunywa hata juice ya tikiti basi upunguze moriUsitokwe na mapovu bure soma heading ya thread halafu hii elimu ya bure mpe huyo member hapo juu ndio aliyeleta huu upuuzi hapa.
Unatumia nguvu nyiiiingi kuiongelea Lamborghin wakati sahivi diamond yupo shooting hebu kunywa hata juice ya tikiti basi upunguze mori
Af nkikuita teammheshimiwa utaniijia juu? Ha ha ha piga kampeni sasaMwenzio nipo kazini na nalipwa per post.
Je una lingine?