Tena dada yake kiba yumo humu cute b ndio anaongoza promo ya kuomba watu wawapigie kura wanigeria. So hii inaonyesha issue hii ni kubwa katika familia ya kiba kwa kuumia kuona Diamond anafanikiwa wakati wao wamekaa chini hawaji na kitu chochote kipya.
dadake alijisema kuwemo siku nyumbani kiba kadai kaibiwa chezea maneno ya wadau humu kutetea kitu akajisema.
Kitu hiki hata Diamond akiacha muziki kesho wanategemea kiba atapanda kuwa yeye? Kwanini hawajipaishi nao wapae na sio kwamba nafasi hakuna, maisha yake kwenda USA anadanganya na picha anaomba kupiga 1st class huku kasafiri economy maisha feki feki kisa awe Diamond. Tuzo wamepata bado kuungilia MTV kuomba watu wasimpigie kura.
Hii ya wema na kiba kusapoti watu watumie majina yao kuomba kura wapigiwe watu wa nchi zingine, wameenda mbali na wivu, wanaweza kutoa roho ya mtu, khaaaaa. Inabidi ujumbe waandike kuwakataza. Wanatutia aibu wa Tanzania wanategemea kwao wao haitakuwa hivi? If yes wanaota. T 4 T