Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Af nkikuita teammheshimiwa utaniijia juu? Ha ha ha piga kampeni sasa

Afadhari wewe umeanza kukubali matokeo kwa kuanza kujizoeza kumuita Mheshimiwa Wema Sepetu. Kisaikolojia hii ni nzuri maana Kibonde alimtukana Sugu sasa mwenzanke yupo mjengoni yeye limemshuka kujipendekeza kote hata Udc hajapewa.

Hebu niiteni Le Mutuz aje hapa tupate maoni yake mzee wa matamko. Mimi kummention jina lake hata sijui wanaandikaje!
 
¢¢∆. z
°|`£lsaa view psaweecaEises , w. was.Z
 
Shhhhhhh baba nanii tuachane na la mbunge una breaking nyuzi mpya umeona davido alivowaambia wapiga kura wake wa tz?????yani nashindwa hata kucheka
 
Shhhhhhh baba nanii tuachane na la mbunge una breaking nyuzi mpya umeona davido alivowaambia wapiga kura wake wa tz?????yani nashindwa hata kucheka

Mimi huko Insta ni mgeni kabisa siku hizi wala sina habari nako sijawahigi kuona la maana, kama kuna jipya weka hapa.
 
Wewe mwenyewe team prezidaa b ila unakomaa huna team!
Jamani hivi hakuna ubuyu kabisa zaidi ya haya mambo...
Mpendwa sidhani kama nshawahi kukuvunjia heshima hapa, I beg I beg ooooh (in Nigerian voice) usiniite team...
 
haya wale wenye roho za kwanini kwa kifupi ni kwamba ile lambourghini lilikua kwenye shooting ya video ya madogo ya moto band huko south africa via instagram post ya plutnumz ukiicheki utaona wameiegamia na picha hiyo apooo
 

Attachments

  • 1434537035649.jpg
    52.9 KB · Views: 204
Ila jamaa amefanikiwa kuwa jambisha team makombo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa Danny greeny umekuja kukinukisha tena?
Wewe mtu nakuogopa balaa maana sio kwa zile amsha amsha za juzi!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kiswahili hii kauli ina maana gani?:confused2::confused2:
.........................................

Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...

Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!

Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina miss Chaga na 'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!

It's only my Opinion..!!

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…