Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Af nkikuita teammheshimiwa utaniijia juu? Ha ha ha piga kampeni sasa
Afadhari wewe umeanza kukubali matokeo kwa kuanza kujizoeza kumuita Mheshimiwa Wema Sepetu. Kisaikolojia hii ni nzuri maana Kibonde alimtukana Sugu sasa mwenzanke yupo mjengoni yeye limemshuka kujipendekeza kote hata Udc hajapewa.
Hebu niiteni Le Mutuz aje hapa tupate maoni yake mzee wa matamko. Mimi kummention jina lake hata sijui wanaandikaje!





