Ha ha ha mi naona watu ndo wamejaa unoko tu naseeb kajiandikia zake machache tu wenye akili za panzi na shule ya mlugo wakatafsirii wakanyambua wakakarabati wakatiatia chumvi pambaffffff na diamond anajua kuvuruga ha ha ha anapost kakitu afu haandiki ngoja sasa uone ki vumbi na jasho
Wachomeeee dinnaa wachomeeeeee wapi MB8 nikudownload ana.nini
Pdidy hakosei spelling ana lugha yake ya pekee.
Assalam aleykum W.W.
Ndugu zangu katika imani,mwezi mtukufu umeandama!kesho inshaallah ni ramadhan moja!
Waislam wote wa team diamond na team kiba,team wema na team zari wote kwa pamoja,RAMADHAN KAREEM!!!
Hakika tumeumbwa kumcha Allah kwa hivyo tusijisahau sana waislam wenzangu!
Ukuje haraka pande hii wewe... ninabajaj hapa kwaajili yako attttttt
BACK TANGANYIKA
nawachomaa haswaaaaaaaaaaa weraaaaaaaa ukinidelete wenzio wananidownload weraaaaaaaaaaa
Hahahahaaa, kumbe na wewe unajua kuchamba hivi?
Nilikua sijui aisee. ...
Kukuuu wa kithunguuu nchinjaji hanaaa taabu ebu niacheee cheee ebuHata kukosea nako ni upekee pia.
Anarusha kapost anaacha tunavurugana ha ha ha jamaa huyuNdo nachompendea Mondi anawaachia watu waseme
Ha ha ha itakua ndo zawadi anazokupa mbebs nini lolHa!ha!ha! Hadi kabia kamenipalia ghafla .!!!!!
Mbunge anawaza atafutaje hizo tattoo, aunguze tu na pasi teh #kirohombayaharooo ya mbungeeeee
Kabisa. kibongo bongo ndio zawadi zetu sasa mtu akihongwa Ferrari lazima mtikisiko uwepo.Ha ha ha itakua ndo zawadi anazokupa mbebs nini lol