Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Assalam aleykum W.W.
Ndugu zangu katika imani,mwezi mtukufu umeandama!kesho inshaallah ni ramadhan moja!
Waislam wote wa team diamond na team kiba,team wema na team zari wote kwa pamoja,RAMADHAN KAREEM!!!
Hakika tumeumbwa kumcha Allah kwa hivyo tusijisahau sana waislam wenzangu!
 
Ha ha ha mi naona watu ndo wamejaa unoko tu naseeb kajiandikia zake machache tu wenye akili za panzi na shule ya mlugo wakatafsirii wakanyambua wakakarabati wakatiatia chumvi pambaffffff na diamond anajua kuvuruga ha ha ha anapost kakitu afu haandiki ngoja sasa uone ki vumbi na jasho

Ndo nachompendea Mondi anawaachia watu waseme
 
Assalam aleykum W.W.
Ndugu zangu katika imani,mwezi mtukufu umeandama!kesho inshaallah ni ramadhan moja!
Waislam wote wa team diamond na team kiba,team wema na team zari wote kwa pamoja,RAMADHAN KAREEM!!!
Hakika tumeumbwa kumcha Allah kwa hivyo tusijisahau sana waislam wenzangu!

Thank u, twende tukazipate fadhila za taraweh ya kwanza. Siku ya qiyama hatutoulizwa ya diamond na zari. Ramadhan kareem
 
Diamond yupo busy ndani ya studio mida hii akirekodi Pan African Collabo na D... (unataka jua jina kasome uone) smile... ndani ya Universal Studios

Kaa mkao chanjo mbeleni usipitwe na kibao hicho...

**********

Haya

Kumpigia kura Diamond Platnumz wetu, m Tanzania mwenzetu kama sie fans wake watanzania halisi.

Ingia link hii chini, bonyeza bonyeza usichoke tujivunie uTanzania wetu sie.

http://mama.mtv.com/voting/

View attachment 261249
 
Nikuvote tu
 
Attachments

  • 1434561484699.jpg
    1434561484699.jpg
    41.2 KB · Views: 115
Ha ha ha itakua ndo zawadi anazokupa mbebs nini lol
Kabisa. kibongo bongo ndio zawadi zetu sasa mtu akihongwa Ferrari lazima mtikisiko uwepo.

Tunasahau kuwa kuhongwa kuna viwango kuanzia kyupi hadi Ferrari ,usisahau kuna watu wamehongwa ubunge viti maalumu na ukuu wa Wilaya.
 
Back
Top Bottom