pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
waulizia hilo kwa nifah,
hana la kufanya tu lakini huko kuroho kwamkereketa mbaya!!!!
hapendiiiii,kachukia hadi kichwa kinauma.
Ila huu mpambano mzuri kweli ila mwisho wa siku kuna watu watakimbia mjini...
am just saying😀
huku wengine wanahongwa kwa kupigiwa kura,zari yeye anaimarisha mahusiano yake!!haya wale vinyeo juu temeni mate na hapa!
Huyo ndio zari bwana mtajuta kumfahamu.
We unao ushahidi kuwa we ni mtoto wa baba ako?
Hivi kwa mfano tu, hawa wasanii wetu tuwaulize wapewe zawadi ya Lamborghini au ktma award watachagua IPI?!
Kwani imeandikwa wapi kwamba zari ndo kamnunulia????
Negative!!
Wala sitamwambia hivyo.
Jaribu tena kuotea.
Mwaka huu hauishi wallahi nakuvutia funcargo ama nini. Special for u!
hahahahaaaa...safi sana!
Hadi raha hongera zao na Mungu azidi kuwabariki.
mhhhh usikute ndo hela zetu wenyewe wabongo white party mlimani city
hhhhhaaaaaaaaaaaaaaa
Ukimaliza kucheka hakikisha unaenda ku vote..