Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

wacha wee ufundi rahaaa madam kakutunuku na ufike mbali dogo pepeaaaaa dangote unafanya nchi yangu kujulikanaaaa hata babu kifimbo nyerere angekuepo angekupa zawadi mtoto mzuri wee khaa TANZANIA,TANZANIA kumbe una vichwa ka hivi nihame niende wapi niko home dogo dangote ye anakupeperusha tyuuuuu benderaa
 
waulizia hilo kwa nifah,
hana la kufanya tu lakini huko kuroho kwamkereketa mbaya!!!!
hapendiiiii,kachukia hadi kichwa kinauma.
Ila huu mpambano mzuri kweli ila mwisho wa siku kuna watu watakimbia mjini...
am just saying😀

Aisee unatakiwa uchague upande sahihi wa kuupigia fitna teh teh huyu dogo atawatoa watu roho
 
khaaa humu ndani mmenishinda tabia jamani duuu hizi comment my foooot
 
Ni sawa na Ile ndege, ile VX
Sasa si atakuwa anaiendeshea huko tu?
Yeye hajasema kuwa kanunuliwa
 
Nasikia ndimu inatajwa humu,inauhusiano gani na mada iliopo hapa?! Tuvumiliane wengine tuna vichwa vigumu!
 
Back
Top Bottom