unarambooooo m nnamuaaaanikae namsikiliza wema sina kazi ya kufanya nini. Ebu nipishe huko.
mmmhh kizazi kimevumilia kwa list hiyowalakini wanao hao unaoona wasichana wakati wamtoa mimba kibao na wakaharibu vizazi au hukumsikia jana wema
Mnakumbuka ya Mr. Nice ?? Tehe
Ni msanii wa Tanzania anatokea Tandale na ana mdomo mkubwa kuliko wasanii wote wa Africa ana domo kama Kununua Ubuyu Mahali Alipo ya Mbwa. Pia inasadikika kampa mimba bibi zarina hassan ambaye ameshawahi kufanya mapenzi na ivan semwanga, issack lugude, farouk sempala, general jeje odong, moze radio, Aziz azion, Danny greeny, issaiah, robart ogwal a.k.a rasta bob, katunzi, exodus, DJ shilu, juma seiko, weisal TV na WENGINEO WENGI.
Nipate jibu kwani hilo limekuwa swali?
Alaa....kumbe kamchezo kenyewe ka kuhongwa gari ndio haka..Acha wahongweeeeee
Kutokea nchini zanzibar,Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...
Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!
Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina miss Chaga na 'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!
It's only my Opinion..!!
BACK TANGANYIKA
Hilo ndio swali la kujiuliza imekuwaje huyo diamond katembea na wasichana kumi kashindwa kuwapa mimba kagusa tu kwa mbibi aliyetembea na wanaume mia eti kampa mimba. Hapa kuna walakini ukweli anaujua zarina mamahuruma.
Shikamoo bibi Faiza.:yawn:Sema "ulijuaje" mara tatu kwa sauti huku unajisikiliza, jibu utalopata fanya siri yako.
Haase job true .
muulize demu wake katafunwa na wangapi
Demu wangu katafunwa na MAMA YAKO peke yake.
Aaaaah Nifah my, watu wanajua kuchanganya lugha acha kabisa.. halafu wanakuja watu hapa na kutuita Makayumba sijui wao wanaishi wapi?
Halafu hebu mwambie mkuu Charity hapo apunguze munkari plz, maana nimeina akinyeshesha mvua hapa hata mwamvuli huwezi kufanya kazi.!! Mwambie akolum daun tafadhari jukwaa linamuhitaji hili..!! Nisalimieni cute b popote mtakapomuona mwambieni hata mate hayamezeki bila kusikia sauti yake tamu utafikiri nyuki wakitunga asali kwenye mzinga...!!
BACK TANGANYIKA
We unao ushahidi kuwa we ni mtoto wa baba ako?
Namkumbuka enzi hizo 2005 anafanya interview na salama aliweka meno ya dhahabu ya milioni 3.
⊙Jamaa aliconfirm account yake enzi hizi ikikuwa na Kama m 300.hivi kwa kipindi huko ni hela nyingi sana ni Kama 700m ya sasa.
Hahahahaaa wew nawe huishi vituko. Nimezipata mkuu..vip mzima wewe?