Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Attachments

  • photo.JPG
    photo.JPG
    8.3 KB · Views: 197
  • unnamed (4).jpg
    unnamed (4).jpg
    15.4 KB · Views: 182
  • unnamed (3).jpg
    unnamed (3).jpg
    24.1 KB · Views: 181
  • unnamed (2).jpg
    unnamed (2).jpg
    12.9 KB · Views: 171

Attachments

  • unnamed (6).jpg
    unnamed (6).jpg
    15.8 KB · Views: 171
  • wema sepetu..jpg
    wema sepetu..jpg
    33 KB · Views: 180
Mnakumbuka ya Mr. Nice ?? Tehe

Namkumbuka enzi hizo 2005 anafanya interview na salama aliweka meno ya dhahabu ya milioni 3.

⊙Jamaa aliconfirm account yake enzi hizi ikikuwa na Kama m 300.hivi kwa kipindi huko ni hela nyingi sana ni Kama 700m ya sasa.
 
Ni msanii wa Tanzania anatokea Tandale na ana mdomo mkubwa kuliko wasanii wote wa Africa ana domo kama Kununua Ubuyu Mahali Alipo ya Mbwa. Pia inasadikika kampa mimba bibi zarina hassan ambaye ameshawahi kufanya mapenzi na ivan semwanga, issack lugude, farouk sempala, general jeje odong, moze radio, Aziz azion, Danny greeny, issaiah, robart ogwal a.k.a rasta bob, katunzi, exodus, DJ shilu, juma seiko, weisal TV na WENGINEO WENGI.

Haase job true .
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapo kwenye "Your" alisahau Ku-touch alimaanisha "You" chezea touch wewe..!!! Sentesi yote imevurugikia hapo...

Anyway kama niko sahihi, huyo mama anaonyesha hadharani kwamba walikuwa na mtafaruku wa chinichini na Daimond, Kiasi kilichopelekea yeye kumhonga Ferrari ili kumrudisha.. Na jamaa kwa kupewa gari hilo ndiomaana kashukuru hadharani na mdada wa watu kwa kuzidiwa na furaha kamwaga mtama kwenye kuku wengi..!!!

Nampa hongera sana Dai, kipenda kwa namna hiyo kina miss Chaga na 'Valentina' wanakulilia kila siku hawapati..!!

It's only my Opinion..!!

BACK TANGANYIKA
Kutokea nchini zanzibar,

nimekuelewa vizuri sana.
 
Hilo ndio swali la kujiuliza imekuwaje huyo diamond katembea na wasichana kumi kashindwa kuwapa mimba kagusa tu kwa mbibi aliyetembea na wanaume mia eti kampa mimba. Hapa kuna walakini ukweli anaujua zarina mamahuruma.

ukweli wameshaujua wengi toka kwa DNA
 
asilimia 82% ya watanzania tunalea watoto wa wenzetu kabla hujaropoka kapime DNA na mwanao
 
Demu wangu katafunwa na MAMA YAKO peke yake.

teh teh teh teh teh teh pole bhana mi mtu wa pwani sikutukani na wala sitothubutu kufanya ujinga huo ILA KAMUULIZE SWALI DOGO TU DEMU WAKO MARA YA MWISHO LINI KUTAFUNWA TOFAUTI NA WEWE
 
Wengi wanamchukia Diamond kwasababu ya juhudi zake alipokua anauza mitumba wala, now ana mpenzi wake wana furaha basi hawalali kutwa kutunga na kumtungia mkewe majina ya wanaume na kusahau aliishi na mwanaume baba wa watoto wake kwa miaka kama 15 bali haooooo hata mjusi watasema kalala nae, marafiki wake wakiume wote eti kalala nao. Nyie mabikira bado?

Si mkae mkaze buti na yenu mumejaribu kuwafanya waachane na maneno, matusi, mapicha, mavideo bali bwaaaaaaaaaaaaaa ndio kwanza wanashamiri na kupendwa zaidi. The hottest celeb couple in EA labda niseme Africa kabisa maana wana fans wengi.

Diamond katumia akili ya baraka zake na nyota aliyonayo kufika alipo, shuti kuja na jina bandia kukanda wakati mziki/kazi/biashara ako inakufa hauna jinsi ya kujipaisha na roho mbaya. Tumia jina lako kukanda uone cha mtema kuni na picha wekeni.

Ndimu ndimu wengi bado wanahitaji, nahisi kuna wanaomtamani ila ndio wakati wa mitumba hawakumtamani now pesa ndefu, celeb wa kimataifa nao hao wivu kongosho khaaaaaaa mtajiviringa kwa sana tuuuuu

Haya msisahau kumpigia kura kwa MTV Africa awards link hii

http://mama.mtv.com/voting/

Bonyeza bonyeza hadi usikie raha mazoezi ya vidole, tujivunie sie wa Tanzania halisi tunaopenda kuona bendera yetu inapeperushwa


View attachment 261322
 
Aaaaah Nifah my, watu wanajua kuchanganya lugha acha kabisa.. halafu wanakuja watu hapa na kutuita Makayumba sijui wao wanaishi wapi?

Halafu hebu mwambie mkuu Charity hapo apunguze munkari plz, maana nimeina akinyeshesha mvua hapa hata mwamvuli huwezi kufanya kazi.!! Mwambie akolum daun tafadhari jukwaa linamuhitaji hili..!! Nisalimieni cute b popote mtakapomuona mwambieni hata mate hayamezeki bila kusikia sauti yake tamu utafikiri nyuki wakitunga asali kwenye mzinga...!!

BACK TANGANYIKA

Hahahahaaa wew nawe huishi vituko. Nimezipata mkuu..vip mzima wewe?
 
Last edited by a moderator:
Waambie hao mzurimie!!kazi kumwambia diamond tu wakati kiba ni mzinzi vilevile tena anazaa mpaka na huosegirl!?!?!
Mfalme juha,king masikhara!?
 
Last edited by a moderator:
Namkumbuka enzi hizo 2005 anafanya interview na salama aliweka meno ya dhahabu ya milioni 3.

⊙Jamaa aliconfirm account yake enzi hizi ikikuwa na Kama m 300.hivi kwa kipindi huko ni hela nyingi sana ni Kama 700m ya sasa.

Mr. Nice alikuwa anabebwa na kupigiwa promo na Motie Mengi.. Alivyofariki Motie na mziki wa huyu jamaa nao ukafa.. Too bad for him
 
Back
Top Bottom