Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

Waambie hao mzurimie!!kazi kumwambia diamond tu wakati kiba ni mzinzi vilevile tena anazaa mpaka na huosegirl!?!?!
Mfalme juha,king masikhara!?

Kweli kabisa huyo Kiba na bado analagalaga kusaka wengine ili aishi, risala za kumfunza hawampi ndio maana anaishia kulialia u king hewa tu

Yaani wamezidi wanatamani kuwa yeye lakini wanasema wao hawamfagilii kutwa wanamuongelea. Wanatukana matusi kujiona washindi up.upu hawana kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
 
Hilo ndio swali la kujiuliza imekuwaje huyo diamond katembea na wasichana kumi kashindwa kuwapa mimba kagusa tu kwa mbibi aliyetembea na wanaume mia eti kampa mimba. Hapa kuna walakini ukweli anaujua zarina mamahuruma.


we nae nnyaa kweli,ushajiuliza hao wadada kumi ,Kuna mmoja ashazaa mtoto au kubeba mimba ya wanaume wengine walionao,kama hapanaa basi nao ni wagumba ,,,hutaki leta kithibitisho hao wadada kila mmoja na mtoto wake,halaf ndio useme kashindwa kuwapa mimba,zari kawakomeshaa aisee
Na ukitaka kujua Daimond ni tasa nenda akutie chini kama hujavimba juu
Wema alikiri Ana matatizo ya uzazi au Hilo unajifanya hujui
 
Haya sasa wewe Danny greeny upite hapa usome maana mgumu kuelewa mwepesi kusahau,huyu hapa shoga yako maneno yake hayaa,nayo uyakatae,
 

Attachments

  • wp_ss_20150618_0001.png
    63.9 KB · Views: 160
  • wp_ss_20150618_0003.png
    54.1 KB · Views: 155
  • Picha tatu za muonekano wa Wema Sepetu akiwa amen.png
    94.1 KB · Views: 216
Last edited by a moderator:
Huyo hapo mama ubays nae Ana kichwa kama sende ashukuru manywele Brazilian hair yanamsitiri la sivyo,sio kwa muinuko huo
 
Namkumbuka enzi hizo 2005 anafanya interview na salama aliweka meno ya dhahabu ya milioni 3.

⊙Jamaa aliconfirm account yake enzi hizi ikikuwa na Kama m 300.hivi kwa kipindi huko ni hela nyingi sana ni Kama 700m ya sasa.

Poor Financial Literacy ina wa cost hawa watu... Kuna watu wajasiriamali wa kawaida tu walipata hela za namna hyo perhaps a bit less wakapata washauri wazuri saa hvi wana utajiri wa kutisha. Nina mifano hai sio story za vijiwe vya kahawa. Huyu chalii anavyopiga pesa saa hvi asijisahau kabisa. Walifulia akina Tyson na Evander sembuse Mr. Nice. Mayweather mjanja sanaaa.

Every dog has his day.
 

nina majibu zaidi ya mia ila kwakuwa nimefunga nauweka kapuni huu uzi, mfungo ukiisha ntakujibu kama ulivyouliza.
 
Hahahahaaa wew nawe huishi vituko. Nimezipata mkuu..vip mzima wewe?

Aiiiiiighhhhhhhhhhhh,

Momiee hivi umewahi kumuona "Drug Addict" aliyekosa dope kwa siku tatu mfululizo.. Yaani mtoto unaroho mbaya wewe.. ni nini hii kunikeshesha siku tatu mfululizo bila lepe la usingizi..!! Hivi unaijua thamani ya sauti yako Kwangu.. Aiiiiiiiiiggggggghhhhhhh..!!

Nilikuwa taabani kwasauti yako mepona momiee.

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…