mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Waambie hao mzurimie!!kazi kumwambia diamond tu wakati kiba ni mzinzi vilevile tena anazaa mpaka na huosegirl!?!?!
Mfalme juha,king masikhara!?
Kweli kabisa huyo Kiba na bado analagalaga kusaka wengine ili aishi, risala za kumfunza hawampi ndio maana anaishia kulialia u king hewa tu
Yaani wamezidi wanatamani kuwa yeye lakini wanasema wao hawamfagilii kutwa wanamuongelea. Wanatukana matusi kujiona washindi up.upu hawana kabisa.
Last edited by a moderator: