sio mwarabu ni mganda sema kachanganya babu yake kwa mama ni mhindi na bibi yake kwa babu yake kwa baba ni msomali. na bibi yake ni mburundi.
Tatizo wengi hawajui kuwa Diamond yupo kibiashara zaidi kuliko mpenzi.
Kuwa na Zari yupo kujitangaza zaidi Uganda kuliko mapenzi, wakati watu wanapiga domo kuwa Zari kazeeka lakini Dongote anajua anachokifanya.
Big up Dongote ukimaliza na Zari ukamlete Yemi Alade kwa project zaidi.
Wema bado anamingle ale dawa asile kivyake. Mbona rayc alikula sasa amejirudi? Uzuri hakuwa na mtoto anayemmentor kwa kifupi Wema hana cha kupoteza ila zariunsummit ana watoto tayari so angekuwa na adabu kulinda heshima ya watoto na kuwatengenezea muelekeo wenye maadili. We umri ule uso umemkomaa km lami hadi kumimina mifilter na 360 kwa kila picha alafu yuko busy kugombea mambwana umri wa wanae Instagram? Kweli? Eti nianze na Wema? Naanza na huyu alozaa kwanza asituharibie taifa la kesho. Hajakatazwa kutombwa ila kutombwa kwa drama kwa umri wake wa 39 plus watoto wakubwa wa3 ni majanga. Lile bichwa kubwa limejaa kamasi na si akili.
Kwa domo ni Yale Yale mzaliwa wa uswazi kusiko na maadili ngono kwao ni Kama sifa hata atembee hadi na ane makinda ilimradi anatoa nyege. Tena mama yake anampa na sapoti wala si shida.
Heheeeeee juz ulinichamba wewe lakin nilikuangalia tu tumpongeze kwa mazuri piaa sio mabayaaa
Kumbe wewe unajuaa ungegonga kabisaa Zari kifaa jamaniii ,,,halaf sio mkubwa kihivyoi kama wabavyomkuza watu humuu
Wema mzuri lakini alijiharibu kujikoboaa
Humu hatawanyiki mtuu tuna roho ngumuu
kuna picha moja imeonesha mashavu umeona aslivyokomaa na kono lile....kumbe anajiedit km love diva hahahaHa ha ha kuna watu wagumu sana kuelewa humu ata uwafanyeje mtu anasifia kitu kisicho Sawa basi tu kwa kuongozwa na hisia asimamii uhalisia huwezi ukawa unampenda mtu humshauri humshauri penye ukweli unasifia tu si shiider hiyo kijana mdogo anaenda kubeba mtu aliyeshindana kisa kiki asifiwe kidume ndo sifa ati
Huyu ndio rika lake usidanganyike na makeups.
Wema bado anamingle ale dawa asile kivyake. Mbona rayc alikula sasa amejirudi? Uzuri hakuwa na mtoto anayemmentor kwa kifupi Wema hana cha kupoteza ila zariunsummit ana watoto tayari so angekuwa na adabu kulinda heshima ya watoto na kuwatengenezea muelekeo wenye maadili. We umri ule uso umemkomaa km lami hadi kumimina mifilter na 360 kwa kila picha alafu yuko busy kugombea mambwana umri wa wanae Instagram? Kweli? Eti nianze na Wema? Naanza na huyu alozaa kwanza asituharibie taifa la kesho. Hajakatazwa kufanya mapenzi ila kufanya kwa drama kwa umri wake wa 39 plus watoto wakubwa wa3 ni majanga. Lile bichwa kubwa limejaa kamasi na si akili.
Kwa domo ni Yale Yale mzaliwa wa uswazi kusiko na maadili ngono kwao ni Kama sifa hata atembee hadi na ane makinda ilimradi anatoa nyege. Tena mama yake anampa na sapoti wala si shida.
Dayuuum!
Don't hate, congratulate.
Maajabu haya. Mapenzi ya Diamond na Zari anakuja kuwaka mtu mwingine.Wema bado anamingle ale dawa asile kivyake. Mbona rayc alikula sasa amejirudi? Uzuri hakuwa na mtoto anayemmentor kwa kifupi Wema hana cha kupoteza ila zariunsummit ana watoto tayari so angekuwa na adabu kulinda heshima ya watoto na kuwatengenezea muelekeo wenye maadili. We umri ule uso umemkomaa km lami hadi kumimina mifilter na 360 kwa kila picha alafu yuko busy kugombea mambwana umri wa wanae Instagram? Kweli? Eti nianze na Wema? Naanza na huyu alozaa kwanza asituharibie taifa la kesho. Hajakatazwa kufanya mapenzi ila kufanya kwa drama kwa umri wake wa 39 plus watoto wakubwa wa3 ni majanga. Lile bichwa kubwa limejaa kamasi na si akili.
Kwa domo ni Yale Yale mzaliwa wa uswazi kusiko na maadili ngono kwao ni Kama sifa hata atembee hadi na ane makinda ilimradi anatoa nyege. Tena mama yake anampa na sapoti wala si shida.
Chuki zitawaua hawa watu. Wakiambiwa kwamba hawana hoja ya maana zaidi ya chuki, wanakataa!Dayuuum!
Don't hate, congratulate.
Sawa, lakini yeye kampenda hivyo hivyo kwa sababu wakati wewe unamuonea kwenye picha mwenzako anamuona akiwa nae zero distance na bado anaona okay.kuna picha moja imeonesha mashavu umeona aslivyokomaa na kono lile....kumbe anajiedit km love diva hahaha
Bhana eeeeeh, nini 30 hata kama ni 55 ndo keshaamua, asiyetaka akanye boga kwa sababu haya ni maisha binafsi ya Chibu na hakuna mwenye haki ya kuyaingilia hususani hawa wapiga kelele wa kwenye mitandao!Hhheeeee kwa hiyo zari analingana na mama Diamond??? Yaan 30 na kitu amekua mzee j.lo ana miaka mingi lakin anatembea na katoto kadogo,,we mwenyewe hapo unamtamani zari ile mbaya sema tu hujampata heheeeee
Wewe uliyefanya utafiti weka hapa ushahidi kwamba Zari ni 39.Dinazarde Fanya japo tafiti acha kuongozwa na mhemuko a.k.a ukipenda chongo ukiite kengeza zari Hana 30.
Huu ndio ushabiki unaotakiwa. Watu wajadili kazi na sio maisha binafsi ya watu. IKiwa Chibu ameamua kuwa na bibi kizee, ni yeye na ni maisha yake. Ushauri sawa, lakini sio mtu unawaka mapovu yanamwagika as if una ubia na maisha yake. Haya mambo ya kuingilia maisha binafsi ya watu ndio yalifanya hadi mapenzi ya Diamond na Wema yaingie kwenye mtihani. Team Wema walikuja juu na Bring Back Our Wema... Wema wao wamempata lakini wao ndio wa kwanza kuingilia maisha binafsi ya Chibu... wapi na wapi!Dinazarde...naomba nitengue fumbo ingawa sijaitwa....huyo ni Wema..Aisee domo sina mahaba naye ila katika hili plz!Yule ni mwanaume,Anafanya kazi yake na kupata pesa yake,ana haki ya kuchagua kuwa na mwanamke yeyotee....kwani kalazimishwa?mwacheni ajichapie kifaa icho wee!Kwani kadi ya clinic ya dai ipo kwa zari?Kama ni ngoma nani alimpima Zari?Aku....kwa raha zake!Wema alipo anaipata joto ya nafsi....