Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Diamond anyakua tuzo 3 zinazotolewa na Chomva 2014

Mungu nae kazidi makusudi... yaani anatuletea kiumbe kama huyu: Zari.jpgkutaka vijana watukuze utukufu wake halafu wasemangwe kwamba wanagonga wazee... potelea mbali bhana!
 
dah kweli aliyepewa kapewa yaan zomeazomea yote ile aliyopewa leaders lakini kashinda tena kwa kishindo.haa kweli wenye chuki mnatakiwa kwa wingi ili tufanye kaz kwa juhud maana bila nyinyi tusingekuwa na ujasiri wa kupiga kura kwa wingi

Bongo wivu mwingi sana, huyu mtoto ana kipaji sana kwa kweli lazima tujifunze ku appreciate- Diamond is more than good, he is shining so bright na nyota yake haiwezi zimwa kwa zomea zomea
 
Bongo wivu mwingi sana, huyu mtoto ana kipaji sana kwa kweli lazima tujifunze ku appreciate- Diamond is more than good, he is shining so bright na nyota yake haiwezi zimwa kwa zomea zomea

Zomea Zomea ndo inayomwongezea umaarufu maradufu. Wivu wao hautasaidia kumshusha kijana. Nyota inapowaka mawingu Yatapita yenyewe inaendelea kung 'ara!
 
Back
Top Bottom