Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
wamemuonea huruma nyingi kakosa
walirusha vyupa leaders..... wangeenda kurusha na sauzi... wa mbili havai moja..... hakuna mwanamuziki wa bongo fleva aliyewahi fikia hapoHaaaahhh...itabidi wawe wapole kwa sababu this time it is not shangwe za washabiki it is all about tuzo.
wamemuonea huruma nyingi kakosa
Wapi team Ally Ku.nd...
Hivi video ya mwana bado?
Kaianzishie uzi hii kitu! Si kwake hapa!
Ina maana mondi na wema ndo basi tena??
Mcharo kawa mtaamuuuuu......
Ungepita tu kushoto.
Hadi aseme BMW kapewa na nani
Povu la nini?
Pigania maisha yako acha kumsifia Mwenzio tu.
Mkuu umenichekesha
Na kajamaa kanajua kumrusha roho duhDuuh Inabidi awe mpole tu..
Harufu ya 'nyama' ya nyumbani kwa mcharo Kila siku ndo inakuhangaisha....
wabongo wao ni upendeleo tu mbn IGY AZALEA kamkalisha eminem na drake na watu hawajalalamika