Diamond aondoka bila kuperform Kenya

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513

Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ,

Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa Tamasha hilo.

Fungua video kupata mkasa mzima
Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.



Your browser is not able to display this video.


Wasanii wetu ni budi wakajihafhari sana wanapoingia mikataba ya kazi. Kama kuna ammendments ni vizuri kufanyika kabla ya kusaini maana ukishasaini mkataba wa kazi unakuwa umejifunga kuuheshimu na kuutekekeza
 
Wakenya ni wananja wajanja jinga jinga Sana. Kwanza wanaluita kwenye mikataba ya kimagumashi. Pili wanataka eti kukushindanisha na visanii vya hovyo akina embarambamba wanaovaa Yale masuti ya kishamba ya kijaluo ya rangi kichaa ( crazy colours) na kutumbuiza kwenye clabu za changaa
 
Wakenya T
WAkenya The Akili Kubwa.....Kule hakuna Simba wala Yanga.
Hakunq Chawa Kule
 
Au Mungu ameanza kujibu Maombi Taratibu?
1. Vigogo wawili mfululizo
2. Viongozi watatu uvccm
3.Basi la Watunga sheria kenya.
4. Mwanafunzu wa NIT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…