Diamond aonesha mzigo wa fedha. Waliomuacha watakuwa wanasikitika


duh nilikuwa sijawahi kuisikia hii mkuu, kweli hapa duniani kuna vitu vingi hatuvijui.
 
Kizazi cha kina tyson na jack chain sio sawa na cha sasa...kizazi cha sasa wengi wanajitambua, wanakula bata ila wanawekeza pia

mkuu hata Jack chan aliwekeza unaambiwa huko kwao anamiliki ma Hotels mengi ya kifahari na makampuni ila sasa anasema ameamua tu kufanya charity,Tyson ndio sikuwahi kusikia amewekeza yeye story zake ni za kutumia tu pesa mpaka leo,ila sasa hivi anapiga pesa pia
 
Anawapa watu sababu za kumteka tu.
 
acha tu! kuna watu hapa Tanzania wanazo hizi kadi...lakini cjawai waona wanajishow off kama awa wengine.

maisha ya mitandaoni bana,ni baba Levo na kina Ay tu ndio naonaga wapo kawaida
 
Sio kuringiahia anakupa jasira kama hivi halafu anakupa somo kuwa hata wewe unaweza halafu baada ya hapo unaanza kuchapa kazi.

Hizo ndio kalipwa baada ya kampeni nini? πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
Itakua za show ya Malawi
 
Kizazi cha kina tyson na jack chain sio sawa na cha sasa...kizazi cha sasa wengi wanajitambua, wanakula bata ila wanawekeza pia
Unajua jack chan yupo kwenye top 5 ya wasanii wenye mpunga mrefu duniani
 
Sijawahi kuzuzuka na pesa mtu, huwa nazitafuta zangu ili nizifaidi kwa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…