Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kaka kuna kadi za Visa zinaitwa Platnum Credit Card(kama anavojiita) bank yako ikikupa hii card kwa hapa Tanzania ,unauwezo wa kutoa pesa taslim mpaka million 70!!.Pia ina benefits nyingi sana. hoteli nyingi ukiwa nayo menaja wa hotel lazima akuone [emoji16]kama mjanja na anazo hela atuonyeshe hii kadi,kidogo ntaweza amani kuwa ana pesa.
duh nilikuwa sijawahi kuisikia hii mkuu, kweli hapa duniani kuna vitu vingi hatuvijui.