mkataapema
Senior Member
- Apr 11, 2011
- 108
- 53
Yaani ulivyoandika hivi umenikatisha tamaa kusoma comment zaidi! Kwanini mko sensitive na vitu vidogo hivyo! Utakuta hapo ulipo hata kanisa hujui lilipo! Hongera Diamond!Nasikia Tatizo Daimond ni Mdini sana, kukusaidia ni mpaka uwe mtu wa dini yake, yani kuanzia meneja zake wote mpaka wasanii anao watoa?
Acha hizo jomba fanyeni Diamond amsaidie Kiba kutoka. Kama imewezekana kwa harmonize kwanini ishindikane kwa Kiba? Au WCB hamtaki maveterani?Itakuwa ngumu, maana naona kakomaa na nguvu ya maex wakuongozwa na jambazi kuu Wema Sepetu.. Wanafuta vumbi mdogomdogo
Mi nilijua ni jengo!!kumbe ofisi ni meza, kiti, laptop & monitor, na simu ya mezani!!
hahha hahaha aMSAGA SUMU omba shavu uwe ripota wa domo