Diamond aonesha ofisi yake mpya, tazama ujifunze kitu

Diamond aonesha ofisi yake mpya, tazama ujifunze kitu

Nasikia Tatizo Daimond ni Mdini sana, kukusaidia ni mpaka uwe mtu wa dini yake, yani kuanzia meneja zake wote mpaka wasanii anao watoa?
Yaani ulivyoandika hivi umenikatisha tamaa kusoma comment zaidi! Kwanini mko sensitive na vitu vidogo hivyo! Utakuta hapo ulipo hata kanisa hujui lilipo! Hongera Diamond!
 
Despite mimi kuto kuzipenda nyimbo zake ananiinspire as a youth kupambana.
 
Ofisi zipo zaidi ya hizo. Hapo WCB HEADQUARTERS in kwereee wafanyakazi wengi tu na ofisi zao.

Mwanzoni Diamond aliongelea kuanza kutumia zaidi brand ya WCB, akaanza na WCB RECORDS, na bado kuna vitu vingi anaongeza na hapo ndio mwanzo wake..
 
ningetamani sana kama angemuajiri dasa @Niffah huyu anastahili kuwa mshauri na msemaji wa baba Tiffah
 
Itakuwa ngumu, maana naona kakomaa na nguvu ya maex wakuongozwa na jambazi kuu Wema Sepetu.. Wanafuta vumbi mdogomdogo
Acha hizo jomba fanyeni Diamond amsaidie Kiba kutoka. Kama imewezekana kwa harmonize kwanini ishindikane kwa Kiba? Au WCB hamtaki maveterani?
 
Hongera zake saan kka jamaa acha tu abarikiwr anatoa kwa kile alich jaaliw
 
Watu tulikuwa tunamponda sana kifesi kwenye hili jukwaa miaka mitatu iliyopita alipokuwa unatumia ID ya heaven on desert ila sahivi amekuwa mtu, ametuzidi hela karibu wote tuliokuwa tunamponda, kweli maisha yanaenda kasi
 
Back
Top Bottom