Kwa hilo nakubaliana na weweKwa pesa alizokua nazo si wakununua nyumba bali kujenga. Tena unatafuta kiwanja kikubwa sana magarden ya kutosha viwanja mbalimbali na ma swimming pool halafu ndio apaite state house
Between Ke and Me!Are you ke/me??
Kiingereza cha mwendokasi hicho, mvumilie tu.Kuna tatizo la gramma, tumia kiswahili, tunachoka kukosoa.
Basi mie nikajua kapata 'K' mpya... 🙂🙂🙂
Kabisa.....ifikie mahali sasa ajenge nyumba ya ukweli........ingawa hata hizi nazo amejitahidi ila ajitahidi zaidi.
Kwa nini umekasirika binti?Waswahili bwana... wewe una ngapi? kaandika nyumba wewe tayari umetafsiri kitu tofauti kile upendacho
anyway atafika tu ingawa walisema ni bilionea.Kabisa..! Ila sanaa yetu hailipi kiivo kusema afanye mambo milioni kwa wakati mmoja, ndio maana ananunua nunua nyumba zilizokamilika. Afu Kumbuka kwa sasa investment kubwa inayochukua pesa ni WCB, wasanii wapya aliowasaini na kuibrand label iliyoajiri zaidi ya watu 42, ndiomaana attention yote anaipeleka pale, huku bado akiwa na madeni ya "Mavazi ya WCB, Chibu beats n.k"
Kama anazinunua kwa ajili ya biashara kuna tatizo?Kwa pesa alizokua nazo si wakununua nyumba bali kujenga. Tena unatafuta kiwanja kikubwa sana magarden ya kutosha viwanja mbalimbali na ma swimming pool halafu ndio apaite state house
Hongera kijanaYeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya kunduchi kupitia Dalali mwanamkee.....Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika lebo yake laZima aongeze na nyumba
Je kuna haja ya kumchukia Diamond kama wengine wapo bize kubadiri mademu yeye yupo bize na nyumba
Hakuna tatizo kwa biashara ila kwa kukaa aziendani nae.Kama anazinunua kwa ajili ya biashara kuna tatizo?