Diamond aongoza kwa pesa nyingi Kenya

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
“Tulimkabidhi Diamond cheque ya fedha nyingi za mirahaba na baada ya kumuonesha michakato yetu, alikuwa tayari kusaini nasi,” alisema CEO wa MCSK, Maurice Okoth.

“Kwa sasa Diamond ndiye msanii wa nje maarufu zaidi na msanii wa nje aliyepata fedha nyingi za mirahaba''

Mirahaba? Kwani ana kitalu mgodi gani
habari yako haijakamilika
 
Mirahaba? Kwani ana kitalu mgodi gani
habari yako haijakamilika

Mirahaba ni fedha unayopata baada ya kazi zako kutumika kibiashara mfano kuchezwa radio,tv , night clubs, juke box downloads nk kwa hiyo unapewa asilimia fulani ya mapato yaliyotumika.
 
Kama ni kuvunja rekodi Kenya kupata mshiko mrefu basi tufananishe na rekodi ya MR NIce wakati huo akiwa Kenya na rekodi ya MR.Blue
 
Mleta mada ndiye aliyekaimu nafasi ya H.O.D nini?hatupumui kila saa diamond....
 
Kama ni kuvunja rekodi Kenya kupata mshiko mrefu basi tufananishe na rekodi ya MR NIce wakati huo akiwa Kenya na rekodi ya MR.Blue

Hivi mbona mnapenda kumZoom Mr nice kiivyo?

Ule umillionea wa kuendesha baloon na kushinda bar masaa 24 na wapambe ndio unawachanganya au.
 
Hivi mbona mnapenda kumZoom Mr nice kiivyo?

Ule umillionea wa kuendesha baloon na kushinda bar masaa 24 na wapambe ndio unawachanganya au.

Si ubilionea mleta thread anaweka mazingira ya kuonyesha diamond ndo msanii aliyevunja record kulipwa mpunga mrefu huko Kenya,Mr nice mlevi but je hapo kwenye rekodi ya malipo?
 
Si ubilionea mleta thread anaweka mazingira ya kuonyesha diamond ndo msanii aliyevunja record kulipwa mpunga mrefu huko Kenya,Mr nice mlevi but je hapo kwenye rekodi ya malipo?

Mr nice alikuwa analipwa kiasi gani huko Kenya kama unafahamu?
 
Sijui ila hata kwenye media za Kenya Mr Nice karushwa zaidi kuliko diamond.

Umeona sasa wengi ubillionea wa Nice mnauona kwenye magazeti ambao ulikuwa ni uhongo mtupu.

Nice aliwachota wabongo na ushamba wao kwamba mtu akifunga bar basi ana mapesa mengi. Mtu akiwa na simu Motorola ya kuning'iniza shingoni tayari ni millionea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…