mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Tulimkabidhi Diamond cheque ya fedha nyingi za mirahaba na baada ya kumuonesha michakato yetu, alikuwa tayari kusaini nasi, alisema CEO wa MCSK, Maurice Okoth.
Kwa sasa Diamond ndiye msanii wa nje maarufu zaidi na msanii wa nje aliyepata fedha nyingi za mirahaba''
Kwa sasa Diamond ndiye msanii wa nje maarufu zaidi na msanii wa nje aliyepata fedha nyingi za mirahaba''