Hivi lazima kila kitu mumlinganishe na huyo Domo?
He haunts you.
Mafahari wawili....hawa.. siunajua tena mtani
Mafahari wawili....hawa.. siunajua tena mtani
Mtani sasa,mtawalinganisha hadi ukubwa wa maumbile yao fulani amaiziiiiing!!!
alikiba yupo na david bekham,yao ming,jackie chan,hasheem thabit na jacquelyn ntuyabaliwe.....mnyamaze shenz
wenzako wapo insta wanamtukana neyo kisa hajampost domo wakiwa pamoja ila kiba kampost haha kedrick
pointless sasa neyo kamtafuta d halafu et hajampost et kapewa hela ili awapost insta pimba hizo duu ye nani sasa pesa gani itamtosha ili akubali kupost sema jamaa anapenda sifa d et katafutwa na neyo ndoorooboy wakati ilikuwa hamjui undergrondKupost kiba ilikuwa lazima ndo coz alilipwa ela ha promote coke studio ndo maana alipost hadi wale mademu wa Kenya airways na akapost wasanii wote walioimba pamoja ktk wimbo wa kwaya
pointless sasa neyo kamtafuta d halafu et hajampost et kapewa hela ili awapost insta pimba hizo duu ye nani sasa pesa gani itamtosha ili akubali kupost sema jamaa anapenda sifa d et katafutwa na neyo ndoorooboy wakati ilikuwa hamjui undergrond
Aaaah me simpendi siku hizi nanishafuta nyimbo zake zote kwenye memo yangu baada ya kuona anawasupport majiz maccm
afadhali nisiende mana tuepushe vurugu za fiesta za kumpiga mtu chupa jukwaaniVepeeee ushaenda jangwani kucheki shoo ya king kiba anavyo chekesha cheketua