Diamond apata dili na Gareth Bale wa Real Madrid

Arudio bongo amalizie dili lake na ccm ndio linalipa zaidi. Baba tiffa njaa sana
 
wenzako wapo insta wanamtukana neyo kisa hajampost domo wakiwa pamoja ila kiba kampost haha kedrick

Kupost kiba ilikuwa lazima ndo coz alilipwa ela ha promote coke studio ndo maana alipost hadi wale mademu wa Kenya airways na akapost wasanii wote walioimba pamoja ktk wimbo wa kwaya
 
Last edited by a moderator:
Kupost kiba ilikuwa lazima ndo coz alilipwa ela ha promote coke studio ndo maana alipost hadi wale mademu wa Kenya airways na akapost wasanii wote walioimba pamoja ktk wimbo wa kwaya
pointless sasa neyo kamtafuta d halafu et hajampost et kapewa hela ili awapost insta pimba hizo duu ye nani sasa pesa gani itamtosha ili akubali kupost sema jamaa anapenda sifa d et katafutwa na neyo ndoorooboy wakati ilikuwa hamjui undergrond
 
Vepeeee ushaenda jangwani kucheki shoo ya king kiba anavyo chekesha cheketua
 
Back
Top Bottom