Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Akwendreeee huyo limbukeni wa maisha,hivi kila mtu angekua anakiss na mwanamke wako kitandani anajirecord halafu anairusha kwenye mitandao unafikiri hali ingekuaje?,jamaa ni fala kweli kweliMwanamziki Diamond platnumz amepata dili tamu zaidi kutoka kwa bank moja hapa bongo BANK OF AFRICA (BOA),adai zile video za jana ilikuwa beleare here beleare there tu ila now yuko poa kwa kazi..mna maoni gani wadau kwa huyu kiumbe na walompa hili dili,jana tu ametukanwa amedhalilisha wanawake,halafu leo amekomba mamilioni ya ubalozi,karibuni.
[emoji23][emoji23][emoji23]Akwendreeee huyo limbukeni wa maisha,hivi kila mtu angekua anakiss na mwanamke wako kitandani anajirecord halafu anairusha kwenye mitandao unafikiri hali ingekuaje?,jamaa ni fala kweli kweli
Baada ya alichofanya jana nitasusia kila kitu chake ikiwemo hata hiyo bank of Africa kama atahusishwa nayo.Mwanamziki Diamond platnumz amepata dili tamu zaidi kutoka kwa bank moja hapa bongo BANK OF AFRICA (BOA),adai zile video za jana ilikuwa beleare here beleare there tu ila now yuko poa kwa kazi..mna maoni gani wadau kwa huyu kiumbe na walompa hili dili,jana tu ametukanwa amedhalilisha wanawake,halafu leo amekomba mamilioni ya ubalozi,karibuni.
wivu na povu vinapochanganyikaAkwendreeee huyo limbukeni wa maisha,hivi kila mtu angekua anakiss na mwanamke wako kitandani anajirecord halafu anairusha kwenye mitandao unafikiri hali ingekuaje?,jamaa ni fala kweli kweli
susia na afirisike kabisa mali zote zije kwakoBaada ya alichofanya jana nitasusia kila kitu chake ikiwemo hata hiyo bank of Africa kama atahusishwa nayo.
Yeywle alipaswa kioo ch jamii.
Ni zaidi ya falaAkwendreeee huyo limbukeni wa maisha,hivi kila mtu angekua anakiss na mwanamke wako kitandani anajirecord halafu anairusha kwenye mitandao unafikiri hali ingekuaje?,jamaa ni fala kweli kweli
Hahahahsusia na afirisike kabisa mali zote zije kwako
[emoji23][emoji23][emoji23]sina mbavu mkuueti mondi kio cha jami mrishindwa kufunzwa na wazazi wenu mtoto wa uswahilini ndo awafunze ?
Nimecheka kinoma hahahaaaaaeti mondi kio cha jami mrishindwa kufunzwa na wazazi wenu mtoto wa uswahilini ndo awafunze ?
Mkuu watu kama hawa unakuta anayafuatilia maisha ya huyo Diamond kuliko hata anavyoyafuatilia maisha yake yeye mwenyewe!!Na wewe umasimama mbele ya watu na kujiita mwanaume........umekaa unatangaza kabisa et "" oya jamani ku mwanaume mwenzangu huko kapata bonge la dili,, aaahh noma sana"""
Bullshit!!!