Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Fact.....yani sijui vijana wengine wakoje aisee....mi naogopaga hata kumzungumzia diamond mbele ya watu kwa inshu za kipuuzi kama hizi......Mkuu watu kama hawa unakuta anayafuatilia maisha ya huyo Diamond kuliko hata anavyoyafuatilia maisha yake yeye mwenyewe!!
Fainali uzeeni,vijana angalieni msije kuwapa kazi watu uzeeni mwenu,
Usipoitesa akili ujanani utautesa mwili uzeeni.